Crusade is back!! Huyu ndie atakae kuwa waziri mpya wa defence huko USA

Moisemusajiografii hawa wanadhani wapo karne ya 11 , wanadhani sasa hivi watu watakubali dharau ya wanywa gahawa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Asikilize tena hiyo clip hapo juu ingawa Trump alijaribu kuongea kiungwana ila anamaanisha jambo kubwa kwa Iran & her partners' in crimes!
 
Ayatollah amekubali kukaa chini na kusitisha uzalishaji/uendelezaji "zana" za nyuklia.Unadhani kwa nini?
Usidanganye watu hapa.
Iran imesema Iko tayari kufanya mazungumzo kuhusu vipengele vipya ya masharti ya nuclear ila sio kusitisha uzalishaji.
Na sana sana zinazungumziwa silaha za nuke sio nuclear energy production.
Usitulishe uongo hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ