Crusade is back!! Huyu ndie atakae kuwa waziri mpya wa defence huko USA

Crusade is back!! Huyu ndie atakae kuwa waziri mpya wa defence huko USA

Naona wagalatia wanabwatuka eti crusade nyoko sijui crusade nyokwe.
Hakuna lolote zama hizi sio zama zile.
Hapo middle east Iran ndio superior hakuna mwingine.
Hao wanajeshi wa USA hata aje commander nani Iran itabakia yenye NGUVU kama siku zote.
You can not defeat someone who believes in martyrdom never.
 
Siamini chombo chochote moja kwa moja hadi nitakapoihakiki hiyo taarifa na kuona ni ya kweli.
Chombo pekee ambacho hakinaga mfungamano ni CGTN.
Nikitizama habari nikaona inafanana kwenye vyombo vyote vitatu basi ndio naiamini.
Basi kumbe kuna chombo unakiamin wewe. Hakuna chombo hakina upande so kwa uelewa huu pole sana kijana
 
Hii hii Iran iliyoshambuliwa juzi na idf?
 
Back
Top Bottom