Crusade is back!! Huyu ndie atakae kuwa waziri mpya wa defence huko USA

Crusade is back!! Huyu ndie atakae kuwa waziri mpya wa defence huko USA

Moisemusajiografii itikadi uchwara wameanza kutapa tapa🤣

View attachment 3152677
View attachment 3152678

Mwamba aliwahi kuwa jeshini
View attachment 3152680
Despite ya mambo mengine yaliyotajwa hapa. Us inafanya vizuri kuchagua vipngoz wa vyombo vya ulinzi, hizi nafasi zinatakiwa zishikwe na former military members or formers spies.
Kama huyu bwana ni ex US army major, ameshiriki vita afganistan na iraq, ana expierence uwanja wa vita, so anajua true threat . Si nchi ya kusadikika waziri hajawahi pita hata mgambo, anapewa sababu ni kada
 
Basi kumbe kuna chombo unakiamin wewe. Hakuna chombo hakina upande so kwa uelewa huu pole sana kijana
Aisee hata nilichoongea umenielewa!??
Embu jaribu kusoma tena kwa uelewa.
Ingekua ninaamini chombo kimoja nisingehangaika kuoanisha habari.
Ila angalau CGTN wanajitahidi kutokufungamana na upande.
 
Ayatollaah tokea Trump ashinde nasikia halali, hapati choo, maana anajua kabisa, The Iron man Trump will wipe off Ayatollaah regime instantly from space..!!
 
Waislamu ni watu wa ajabu kabisa!
Sudan wanauana waislamu kwa Waislamu na wala hawana shida!
Ila Waislamu wakifumuliwa na wasio waislamu ndipo tabu inaanza 🤣 🤣 🤣 🤣
Vp kuke Ukraine na raishia wanaueana nani na nani mbona hamkutulia walipouliwa wa israel hyo picha nazani umeipata
 
Kipondo kutoka kwa Hamas ,Houthis na Hezbollah kipo pale pale pale ,hamna kupoa , hao vibaka wanaotumia nembo ya Knights templars aka modern freemasonry Hamna watakachozuia ,
Kipondo kitaendelea mpaka mazayuni akili ziwarudi kwenye hayo mafuvu yao
 
Aisee hata nilichoongea umenielewa!??
Embu jaribu kusoma tena kwa uelewa.
Ingekua ninaamini chombo kimoja nisingehangaika kuoanisha habari.
Ila angalau CGTN wanajitahidi kutokufungamana na upande.
Hiyo angalau umeipataje na kwa vipimo gan umetumia
 
Hiyo angalau umeipataje na kwa vipimo gan umetumia
Kuna muda siasa ya dunia inachafuka mathalan vita ya Ukraine ama vita za Gaza.
Kama vita ya Ukraine utaona vyombo mathalan BBC,France 24 English,skynews,NBC 80% news coverage itakua ni Ukraine war na mara nyingi wakiongelea negativity Kwa Russia.
Mfano wa Gaza war Aljazeera utaiona 80% ya news coverage ni Gaza kiasi upande mwingine wa dunia unatengwa.
Ila Kwa CGTN hilo halipo,hata kama kutakua na yanayoendelea China kuna kipindi chake kwenye program ya CGTN yataoneshwa na muda ukiisha habari zingine zinaendelea.
Na wao utoaji wao habari ni kuripoti kama walivyozipata basi hakuna cha ziada.
 
Vyombo vyote vya habar hasa vikubwa vinaendeshwa kuendana na upande serikali ilipo
 
Back
Top Bottom