Hakuna utawala umewahi kukubaliwa na raia wote ingawaje Iran majority ya watu wake wanaupenda utawala wao changamoto inazopitia Iran ingekua majority hawaukubali huo utawala muda huu ungekuwa haupo tena
Sasa inabidi kwanza akomae na ndani kwake,,,,,,huku kutaka kutawala na nchi nyingine za ukanda ule bado msuli hana,,,aweke sawa kwake na pia kiuchumi ajitahidi akue sana, hapo ndo anaweza kua mbabe kamili wa ule ukanda
Hawezi kuwa Sawa ndani lazma atawale na nje kama sio proxies zake pale mido ist vita inayopiganwa muda huu Ghaza na lebanon ingekua inapiganwa au kupiganiwa Tehran mash had qum nk