Crusade is back!! Huyu ndie atakae kuwa waziri mpya wa defence huko USA

Crusade is back!! Huyu ndie atakae kuwa waziri mpya wa defence huko USA

Shida kuna waajemi pia hawataki utawala wa kiislam wanataka nchi irudi kama zama za kabla ya mapinduzi ya kiislam,, nchi ilikua huru,,,,......
Hakuna utawala umewahi kukubaliwa na raia wote ingawaje Iran majority ya watu wake wanaupenda utawala wao changamoto inazopitia Iran ingekua majority hawaukubali huo utawala muda huu ungekuwa haupo tena
 
Sasa inabidi kwanza akomae na ndani kwake,,,,,,huku kutaka kutawala na nchi nyingine za ukanda ule bado msuli hana,,,aweke sawa kwake na pia kiuchumi ajitahidi akue sana, hapo ndo anaweza kua mbabe kamili wa ule ukanda
Hawezi kuwa Sawa ndani lazma atawale na nje kama sio proxies zake pale mido ist vita inayopiganwa muda huu Ghaza na lebanon ingekua inapiganwa au kupiganiwa Tehran mash had qum nk
 
Yeah shambulio ambalo lilifeli likabaki kuitangaza mifumo ya ulinzi ya anga ya Iran
Ok tufanye lilifeli,wewe unaona sawa mwizi aingie nyumbani kwako atoke salama,hata kama hajaiba chochote,huoni kama utakuwa bogus sana
 
Back
Top Bottom