Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Hakuna utawala umewahi kukubaliwa na raia wote ingawaje Iran majority ya watu wake wanaupenda utawala wao changamoto inazopitia Iran ingekua majority hawaukubali huo utawala muda huu ungekuwa haupo tenaShida kuna waajemi pia hawataki utawala wa kiislam wanataka nchi irudi kama zama za kabla ya mapinduzi ya kiislam,, nchi ilikua huru,,,,......