Kama ningekuwa na dola 200,000 basi tumaini langu ningeliweka kwa hawa watu, kuliko kuwa na imani kwamba watu wote tutafufuliwa na Mungu ambaye mpaka sasa ameshindwa kuonekana zaidi ya kufikirika tu.Ni ubunifu wa mradi wa uhakika wa kula pesa za marehemu.
Wewe unaishi sasa hivi kwa kazi gani?Wataifufua miaka ijayo,ili waipelekr wapi? Na kwa kazi gani
Hizi zinaweza kuwa hadithi sasa, miaka ijayo hazitakuwa hadithi tena.Hadithi za Sukununu
Moja ya comment bora kwa leo.Ni ubunifu wa mradi wa uhakika wa kula pesa za marehemu.
Hizi ni hadithi za mileleHizi zinaweza kuwa hadithi sasa, miaka ijayo hazitakuwa hadithi tena.
Sayansi ni swala la kuipata muda tu itakushangaza sana.
Yeah kama zilivyo hekaya za Mungu kuumba mbingu na nchiHizi ni hadithi za milele
Sasa yeye si kashaumba tayari tunasubiria nini sasaYeah kama zilivyo hekaya za Mungu kuumba mbingu na nchi
Mochwari zitakosa wateja𝗚𝗲𝗿𝗺𝗮𝗻𝘆 𝗶𝗺𝗲𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗸𝗮𝘇𝗶 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝗴𝗮𝗻𝗱𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗺𝗶𝗶𝗹𝗶 𝘆𝗮 𝘄𝗮𝘁𝘂 𝗸𝘄𝗮 𝗮𝗷𝗶𝗹𝗶 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝗶𝗳𝘂𝗳𝘂𝗮 𝗺𝗶𝗮𝗸𝗮 𝗶𝗷𝗮𝘆𝗼
View attachment 3256039
Kuna siku niliwaambia kuhusu watu kutaka kugandisha miili ya watu iliyokufa na kutaka kuifufua miaka ijayo, hatimaye Nchi ya Germany imeanza Rasmi kazi hii ya kugandisha miili na kuifufua.
Uanziishaji huo wa cryonics Berlin ambapo wamelipa jina la Tomorrow Bio, inatoa huduma ya kuhifadhi mwili wako kwa ada ya Dola $200,000.
View attachment 3256040
Kampuni Hiyo imefanikiwa kuwavutia wateja zaidi ya 650 tayari wameshasajiliwa na kuendesha huduma hii maalum ili kuanzisha mchakato wa kuhifadhi cryopreservation haraka iwezekanavyo.
Lengo lao ni kuwezesha wale watu watakaokufa kuweza kugandisha miili yao na kufufuliwa tena miaka ijayo.
View attachment 3256042
Mungu hayupo, sasa ataumba vipi wakati hayupo?Sasa yeye si kashaumba tayari tunasubiria nini sasa
Na wanalipa hela kibaoKujisumbua tu
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh!!!Mungu hayupo, sasa ataumba vipi wakati hayupo?
Dah mkuu Kanungila long time jamvin. Za moro? Last seen may 2023. Hope everything is alright. Sisi bado tupo humu na kina adriz. Dogo anakera balaa kaniaribia Santana jamvin na sitamuacha maamaee al be his nightmare forever l.Nchini Marekani, kuna zaidi ya sehemu 100 ambazo zinatumika kuhifadhi miili ya watu waliofariki.
Sehemu hizo zimejengwa katika hali ya kuweza kuifanya miili hiyo isiharibike na kubaki katika hali ya kawaida.
Hii inatokana na imani ya kwamba katika miaka ijayo, Binadamu watakuwa na uwezo wa kurudisha maisha ya watu waliofariki.
Hivyo, watu wengi hasa matajiri, kabla ya kufa hutoa order yao kwamba akifa ahifadhiwe huko, ili ikitokea siku Binadamu akafanikisha kurudisha uhai kama wanavyotumaini basi nao wawe moja yao kati ya hao.
Wapo wengi waliohifadhiwa huko akiwemo, Walty Elias Disyney, mmoja Kati ya waanzilishi wa kampuni ya kutengeneza films, ya Walty Disyney.
CHIMBUKO LAKE
Mtu wa kwanza aliyekuwa amehifadhiwa katika mfumo huu wa "Cryogenically frozen" alikuwa mwanasaikolojia mwenye umri wa miaka 73, Dk. James Bedford, ambaye aligandishwa mwaka wa 1967. Mwili wake mpaka sasa bado una hali nzuri huko Alcor Life Extension Foundation.
Nadharia ya watu waliohifadhiwa na kisha akafufuliwa wakati teknolojia ikiwa mbali sana kutokana na kitabu "THE PROSPECT OF IMMORTALITY" kilichoandikwa na mtaalamu wa fizikia Robert Ettinger mwaka wa 1964. Neno "cryonics" linatokana na Neno la Kigiriki kwa "baridi."
Mwishoni mwa miaka ya 1970, kulikuwa na makampuni sita ya cryonics nchini Marekani. Lakini kulinda na kudumisha kila mwili kwa muda usiojulikana ilikuwa bei mbaya sana, watu wengi wa makampuni haya walipiga pesa za maana kwa miaka kumi mfululizo.
Leo, watu wachache tu wa makampuni hutoa huduma kamili za cryosuspension, ikiwa ni pamoja na Alcor Life Extension Foundation huko Arizona na Taasisi ya Cryonics huko Michigan. Mapema mwaka 2004, Alcor alikuwa na wanachama zaidi ya 650 na wagonjwa 59 katika cryopreservation.
===
Cryonics is the practice of freezing and storing human remains at low temperatures in the hope that they can be revived in the future. The word comes from the Greek words krýos, meaning "icy cold, frost", and -onic.
The process is based on modern science and involves several steps:
1. Legal death: The process begins when a dying person experiences cardiac arrest and can be legally declared dead.
2. Stabilization: Breathing and blood circulation are temporarily restored artificially.
3. Packing: The body is packed in ice and shipped to a cryonics facility.
4. Blood replacement: Blood is drained and replaced with cryoprotective agents and antifreeze.
5. Chamber: The body is placed in a chamber filled with liquid nitrogen.
🤣 Kumbe nao Wana saccos 🥴Na wanalipa hela kibao
Wajinga wapo wengi, hata wazungu wana Saccos zao
Hii Dunia vituko haviishiNchini Marekani, kuna zaidi ya sehemu 100 ambazo zinatumika kuhifadhi miili ya watu waliofariki.

Wewe huoni wanakuambia lipa kabla hujafa kila mwezi makato juu kwa juu🤣 Kumbe nao Wana saccos 🥴