Cryptocurrency ni kweli siyo upigaji; kwa siku tano nimeingiza faida ya dola 900 za kimarekani

Status
Not open for further replies.

Sawa mkuu nilinunua cardarno



Cardano gan ulinunua ukapata faida kubwa hvyo, na cardano uwa inapanda taratibu sana. Acha kudanganya watu
 
Acheni porojo nyie. Hapa kuna kaharufu ka upigaji hakuna hela za bure ni kufanya kazi tu na uzalishaji mali baas. Kuna mapori mapana lukuki nchini, vyanzo vya maji, ardhi yenye rotuba. Tufanyeni kazi jamani.
Aiseee...
wewe bado sana endelea kulala....
Na huo upigaji unatoka wapi?,
wakati crypto ni kama mtu kafungua account yake benki mwenyewe, na hahitaji msaada wa kufanya hivyo kama anajua mwenyewe kutumia simu janja...
Hata wa vijiji kama nyie miaka ile wakati wafanyakazi wa benki walikuwa wanazunguka vijijini kuwashauri mfungue akaunti benki kuhifadhi hela zenu za mazao, kulikuwa na watu kama wewe mnawaambia utaibiwa hela ukiweka benki....
 
Napenda sana nijifunze how to trade. Ukiwin hii kitu unaweza ishi kama freemason.
Kuna shabiki mmoja maarufu wa mpira wa miguu wa timu ya taifa alihojiwa anawezaje kusafiri kila nchi kushabikia timu akajibu kwa ufupi anatrade.
Yaani ukiwa smart hii kitu inaweza kukufanya uishi kifalme.
 
Ni kweli mkuu kabisa mkuu. Tuseme umeinvest kama 1000 kwenye coin ambayo ilikuwa dollar moja halafu ipande hadi 1000
 
Mara wewe mgeni kwenye hii ishu mara umepata 900$...

Kirahis rahis hvyo..

Hebu nenda fesibuku a.k.a meta kawakusanye huko
 
Mkuu ni kweli market itakuwa nzuri hadi mwisho wa mwaka huu ukiinvest kwenye crypto ? Halafu itashuka hadi mwezi wa nne April next year na kupanda tena.? Nimesikia wanao wekeza sasa hivi hadi December watakuwa kwenye mazingira mazuri ya kufaidika?
Mkuu cryptos ziko volatile sana, ni ngumu kupredict itapanda au itashuka. We fikiria tuu, Elon Musk akitweet kuhusu crypto, market inahama kabisa.

Yaani muda wowote inapanda au kushuka.
 
Jibu langu la siku zote ni kuwa HAKUNA MTU ANAEGAWA PESA ZA BURE DUNIANI.

Hivyo ukiona umekula tarajia kuwashawishi watu mia moja na hao wanaenda kuliwa.

Hakuna utajiri Rahisi duniani
Ushachomoa betry kaka
 
Kwani mkipiga hela nyie ni lazma uwaambie na wenzio?
 
Mkuu mimi nafanya kazi siyo eti ntategemea tu crypto. Iyo 500 USD nimeinvest tu mkuu kama Pata potea ila nilivoona hii faida imenipa moyo. Pia ukiwa na akili timamu huwezi wekeza hela yako yote.

Lakini tegemea ipo siku utalia...
Ongeza dau la uwekezaji! Weka10,000 USD
 
what can you buy with this invisible cash of yours? lets say you want out of the investment, how much real currency will you get?
Vijana wa IT mnavamia fani za watu (hapa ni IT wa dunia nzima sio wa Tz pekee). What immunity does bitcoin has from Market crash?
Finance ni fani ya watu. Untill bitcoin can buy tangible things, steer clear. You can't invest in a currency.
 
Sasa faida ya kuingiza siku 2 wewe uhangaike siku 5 zote hizo, what for? Tena bahati nasibu, ikishuka thamani ndio umeliwa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…