CS sFaxien inayocheza na Simba kombe la Shirikisho, tumeijua leo

Kipofu kaona mwezi, una mda gani haujashiriki club bingwa?

Hapo ulipo unahisi una uwezo wa kumfunga nani?
 
Hujui mpira we Bwege Mtozeni hiyo club imechukua kombe hili mara mbili.
 
Elimu elimu elimu bingwa mara tisa wa ligi ya tunisia unamfananisha na monastrir na club africain ,jiulize wamechukua ubingwa wa Tunisia mara ngapi kuwashinda hawa miamba wa Tunisia. Au unaishi kwa akili za Ally kamwe wa yanga aliye wadanganya monastrir na club africain ni wakubwa na ujinga ukawajaa, huyu ndio bingwa wa kihistoria wa shirikisho anayo makombe MANNE unamfananisha na monastril na club africain ambao hawana hata makombe mawili ya ubingwa wa tunisia nisitaje shirikisho kwao ni ndoto, NI UJINGA NARUDIA UJINGA WA HALI YA JUU ulioandika ,fuatilia mpira yakikushinda kuna michezo mingi,tutajie team yako yenye uwezo wa kuchukua makombe manne shirikisho.Pia nikujuze Al ahly kachukua shirikisho,mazembe kachukua mara mbili shirikisho pokea kwa uchungu usiyoyajua yakusaidie.Mashabiki mlioanza kushabikia mpira kusikiliza maneno ya Ally kamwe na Ahmed Ally mnamatatizo mengi sana .Jipige kifua mara tatu jiambie mimi ni mjinga
 
Watu wa Ngara huwa mna akili fupi sana kama mji wenu.Hivi una mwiko nyuma?
 
Acha fujo kolo
 
Kumbe Kuna timu Inaitwa CS Sfaxien [emoji1787][emoji23]
CS Sfaxien amebeba ndoo za Afrika kuliko Al Hilal ya Sudan iliyotuchapa 2-0 hapa nyumbani juzi. Pia amebeba ndoo nyingi za afrika kuliko TP Mazembe anayeenda kutuchapa kesho
 
CS Sfaxien amebeba ndoo za Afrika kuliko Al Hilal ya Sudan iliyotuchapa 2-0 hapa nyumbani juzi. Pia amebeba ndoo nyingi za afrika kuliko TP Mazembe anayeenda kutuchapa kesho
View attachment 3175576
Kumbe huijui vizuri TP Mazembe kwa mataji ya CAF.
Champions league wamebeba mara 5
Mwaka 1967,1968,2009,2010 na 2015

Kombe la shirikisho( caf confederation cup/ CAF cup winners cup)wamebeba mara 3
Mwaka 1980, 2016, 2017

CAF super cup wamebeba mara 3
mwaka 2010,2011 na 2016.
Tp Mazembe Jumla wana makombe 11 ya CAF je utalinganisha vipi na hao CS Sfaxien ambao wana vikombe vinne tu vya CAF?
 
 
Kwa takwimu hizi, ni sahihi kusema TP Mazembe tumeijua leo?
 
Wewe mshamba mleta uzi hio timu inaubingwa wa Africa mara 3 fanya tafiti kwanza kabla hujajisifia na timu yako ya wachambuzi walionunuliwa wa bongo aka wanaotafuta viewers,uarabuni hakuna timu ndogo bajeti zao wale hakuna timu zinaweza fikia hapa TZ,Kwa TZ promo ninyingi ndio inayowaaminisha watu km nyie nakudharau timu nyingine,mliaminishwa mpk Kwa timu ya Ibenge,and in nutshell Kwa Ibenge hata point 1 hampati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…