CS sFaxien inayocheza na Simba kombe la Shirikisho, tumeijua leo

Hata ukichukua takwimu za miaka 2000's bado CS Sfaxien hawezi kuizidi TP Mazembe kwa mataji.
Sasa walau unaitambua CS Sfaxien (kupitia kiki ya kuifananisha na Mazembe, kama alivyofanya Willy Paul kwa Diamond). Nilitaka nitoe awareness kwa mleta mada ngara23 ambaye katika maisha yake yote hadi jana, alikuwa haijui kabisa CS Sfaxien. Hakuwahi kuisikia kwa kuwa Manara hakumtajia, na hakujua ni moja ya timu za Afrika zilizohifadhi kabatini makombe ya kutosha ya michuano miwili ya CAF na kufika semis za kutosha.
 
Wapi niliposema siitambui CS Sfaxien? Unadhani kila mtu wa kumuongopea humu? Eti kabisa unaongea bila aibu eti CS Sfaxien imeizidi TP Mazembe kwa makombe ya CAF, halafu unakuja kujisifia nawe unaujua mpira wa Africa. Kiufupi hauna tofauti na mleta uzi kama tu umeshindwa kuipa heshima yake Tp Mazembe mbele ya CS Sfaxien
 
Yanga ana point ngapi uko club bingwa naombwa kujuzwa mm sio mtu wa sports
Yanga ina point 0 hivyo baada ya kucheza michezo miwili wanakamata nafasi yao ya mwisho kama ilivyokuwa msimu uliopita baada ya mechi mbili walikuwa na point moja tu na kushika mkia ila mwisho wa siku wakafuzu. Hivyo tuweke akiba ya maneno
 
Watoto wa kulishwa taarifa ndio shida yao aka spoon feeding
 
Kumbe huijui vizuri TP Mazembe kwa mataji ya CAF.
Champions league wamebeba mara 5
Mwaka 1967,1968,2009,2010 na 2015
Kwahiyo hata akituchapa Jumamosi ni sawa tu vile sisi ni wanyonge underdog wa kundi.

Tp Mazembe Jumla wana makombe 11 ya CAF je utalinganisha vipi na hao CS Sfaxien ambao wana vikombe vinne tu vya CAF?
Kwahiyo wao Simba wakimfunga Sifaxen hakuna walichofanya na sisi tukifungwa na TP Zembe tutashangilia kufungwa. Wananchi hoyeeeiiiiiii
 
Takataka umeandika
 
Kwahiyo hata akituchapa Jumamosi ni sawa tu vile sisi ni wanyonge underdog wa kundi.


Kwahiyo wao Simba wakimfunga Sifaxen hakuna walichofanya na sisi tukifungwa na TP Zembe tutashangilia kufungwa. Wananchi hoyeeeiiiiiii
Nakukumbusha tu kuwa msimu uliopita hadi raundi ya tatu Yanga alikuwa anaburuza mkia kwa kupata point 2 tu lakini mwisho wa siku alifuzu.
Kuhusu Tp Mazembe, timu yako ya Simba haikuwahi kumfunga Tp Mazembe hata mechi moja kwenye michuano ya CAF wakati Yanga alishaifunga Tp Mazembe nje ndani kwenye mashindano ya CAF kwahiyo tulizana wewe kibonde wa Tp Mazembe hii vita haikuhusu.
 

Attachments

  • IMG_20241213_211242.jpg
    343.4 KB · Views: 2
  • IMG_20241213_213503.jpg
    333.5 KB · Views: 2
Ni kesho tu, mtamfukuza Saidi
 
Kweli washabiki wa sasa mnakurupuka kuongea usichokijua,ingia kwenye rekodi za CAF 2013 uone ilifanya nini na ulinganishe mafanikio na timu yako unayoipenda, kweli huu mpira kwa nchi umeficha mambo mengi sana
Miaka hii 3 ya GSM kuwa pale Yanga ,umetuletea mashabiki vilaza sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…