Chadema tumbo joto, Prof, piga Ile spana kwamba kupigwa risasi sio sifa ya urais
John McCain alikuja na swaga kuwa kwa vile alikamatwa mateka kwenye vita ya Vietnam basi wamarekani wampe urais. Wamarekani wakamwambia hakuna kitu kama hicho...
Magomeni hakuna Msikiti?Magomeni Kanisani
Baada ya kushusha tanga na kufunga mashine , CUF maalim inateleza ACT.Wazee wa jino kwa jino ngangari chaliii kifo cha mende
ACT ni zenji tu huku barq hawana hamu na yule kinyonga kabwelaBaada ya kushusha tanga na kufunga mashine , CUF maalim inateleza ACT.
Huenda ikatokea miujiza mkuu, huwezi jua[emoji23]Mshaurini Lipumba astaafu tu...it has been too long and unproductive. Mnahitaji driver(s) wapya. Waliomaliza vyuo mwaka alioanza siasa, wengi walishachukua early reirement wanafanya mambo mengine. Naye atafute fursa nyingine.
Kama kizazi kile hakikumwelewa, cha sasa hakiwezi kumwelewa kamwe!