Profesa alikosa hata watu 10 wa kumsikiliza kwenye kampeni zake, alafu leo analia? Hata aliposimama sokoni au stendi, watu walikuwa wanampa kisogo. Na aliulizwa na waandishi, mbona watu wamemsusa?, akaleta kiswahili swahili cha kujidanganya mwenyewe.