The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
🖕🏿👌🏿Huwa inatokea pale timu pinzani zinapokutana na wachezaji wakali lazima wapoteane kabisa.
Hongera Magufuli, Hongera Mwinyi, Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🖕🏿👌🏿Huwa inatokea pale timu pinzani zinapokutana na wachezaji wakali lazima wapoteane kabisa.
Hongera Magufuli, Hongera Mwinyi, Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Watanzania acheni upumbavu, kuandamana huwezi halafu unataka tume huru na katiba mpya, hivi CCM ni wajinga sana uandike tu mtandaoni tunataka katiba mpya, hivyo tu halafu CCM hao mbio kukuandikia katiba itayogharimu hatima yao ya madarakaBaada ya chaguzi ndogo za marudio, uchaguzi wa serikali za mitaa na dosari zote za tume ya uchaguzi na katiba tuliyonayo sasa, huu ndo ulitakiwa uwe msimamo wa vyama vyote vya upinzani kutoshiriki chaguzi zote mpaka tume huru na katiba mpya. Kuandamana kwa sasa ni upumbavu to be honest
Hongereni natarajia mtuoneshe hiyo miujiza.Huwa inatokea pale timu pinzani zinapokutana na wachezaji wakali lazima wapoteane kabisa.
Hongera Magufuli, Hongera Mwinyi, Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Kuandamana kwa ajili ya tume huru na katiba mpya inaingia akilini 100% ila siyo kwa kupinga matokeo ya uchaguzi yanayotokana na kuingia uchaguzi ambao unajua hutoshinda. Kwani hata uchaguzi ukirudiwa mara 5 kwa katiba na tume hizihizi unategemea matokeo tofauti? Seif kule Zanzibar toka enzi za Salmin ameshinda mara ngapi lini alitangazwa na kuapishwa? And yet still anagombea kwa tume hiyohiyo akitegemea matokeo tofauti si wehu huo.Watz acheni upumbavu, kuandamana huwezi halafu unataka tume huru na katiba mpya, hivi ccm ni wajinga sana uandike tu mtandaoni tunataka katiba mdya, hivyo tu halafu ccm hao mbio kukuandikia katiba itayogharimu hatima yao ya madaraka
CHADEMA na ACT Wazalendo wameitisha maandamano kwa dhumuni la tume hii ivunjwe na ipatikane tume huru na uchaguzi urudiwe, umewaona wapumbavu halafu hapohapo unashauri waandamane kudai katiba mpya, huoni unajicontradict mwenyewe, kuandamana sasa kudai tume huru ndo ilikuwa platform nzuri na timing halali lkn watz tumeogopa unazani nani huko mbele ataanzisha maandamano ya kudai katiba na tume huru? Kwa platform Ipi na timing Ipi?Kuandamana kwa ajili ya tume huru na katiba mpya inaingia akilini 100% ila siyo kwa kupinga matokeo ya uchaguzi yanayotokana na kuingia uchaguzi ambao unajua hutoshinda. Kwani hata uchaguzi ukirudiwa mara 5 kwa katiba na tume hizihizi unategemea matokeo tofauti? Seif kule zanzibar toka enzi za salmin ameshinda mara ngapi lini alitangazwa na kuapishwa? And yet still anagombea kwa tume hiyohiyo akitegemea matokeo tofauti si wehu huo.
Je Elimu yetu has been crafted to make us lame, weak, timid, meek and subservient? Kwa nini tunakuwa wepesi kujisalimisha hasa haki inapoporwa Kibabe? Kwa nini tumekuwa na woga hata kuongea na kupigia kelele wizi huu wa kura na uchaguzi? Nani katufanya bubu, viziwi na vipofu?Ndio tunafunga na ikifikia jioni tunaomba dua kwa wote walisimamia uchaguzi na hawakutenda haki Mwenyezi Mungu awaadhibu kwa haki waliyotunyima kutupatia
Bado na Mbatia naye aliye ahidiwa kuwa chama chake kitakuwa chama kikuu cha upinzani atajitokeza hadharani kulia maumivu. Wakimalizika wote wanaingia ccm wenyewe kwa wenyewe kulana mikia ili kumfurahisha bwana mkubwa
Hapana hapana hapanaChadema na Act wazalendo wameitisha maandamano kwa dhumuni la tume hii ivunjwe na ipatikane tume huru na uchaguzi urudiwe, umewaona wapumbavu halafu hapohapo unashauri waandamane kudai katiba mpya, huoni unajicontradict mwenyewe, kuandamana sasa kudai tume huru ndo ilikuwa platform nzuri na timing halali lkn watz tumeogopa unazani nani huko mbele ataanzisha maandamano ya kudai katiba na tume huru? Kwa platform Ipi na timing Ipi?
Hahahahhaaa, huyu maandamano, huyu mfungo, Tanzania banaMaamuzi mazuri
Naunga mkono na tupo pamoja kwenye mfungo siku ya Alhamis pamoja profesa
Tatizo lako umeshindwa kuwaelewa CHADEMA na ACT wazalendo dhumuni lao la kuandamana ni nini, wanapinga matokeo ndio nakubali lkn dhumuni lao kuu ni tume ivunjwe then iundwe tume huru na uchaguzi urudiwe nenda YouTube kasikilize press yao, sasa kwa mawazo yako wanapinga matokeo haya wakimaliza kupinga matokeo what follows, wanaenda kulala?Hapana hapana hapana
Wanaandamana kupinga matokeo.
Tume na katiba vipo toka tunaingia vyama vingi, nimekutolea mfano wa seif na cuf yake toka day 1 anagombea anashinda hatangazwi na hapati akili anagombeagombea tu.
Utakuwa umenielewa
Anyway nimependa tumeelimishana bila kuonyesha jazba. Kila la heri ndugu yanguTatizo lako umeshindwa kuwaelewa chadema na act wazalendo dhumuni lao la kuandamana ni nini, wanapinga matokeo ndio nakubali lkn dhumuni lao kuu ni tume ivunjwe then iundwe tume huru na uchaguzi urudiwe nenda YouTube kasikilize press yao, sasa kwa mawazo yako wanapinga matokeo haya wakimaliza kupinga matokeo what follows, wanaenda kulala?
😂😂😂😂 Dah Prof. Ana Mambo huyuImebidI nicheke kwa sauti hata lishudu ambaye ni CCM b nae analia?
Hao ni wezi...ukiongelea vyama huwezi kuwataja.Chama kipi sasa chenye mvuto ukiacha CCM?