Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
CUF imepata wabunge kwenye majimbo yapi?
Amandla...
Amandla...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah!Hahahahhaaa, huyu maandamano, huyu mfungo, Tanzania bana
Bado na Mbatia naye aliye ahidiwa kuwa chama chake kitakuwa chama kikuu cha upinzani atajitokeza hadharani kulia maumivu. Wakimalizika wote wanaingia ccm wenyewe kwa wenyewe kulana mikia ili kumfurahisha bwana mkubwa