Uchaguzi 2020 CUF yatangaza kutoshiriki Uchaguzi Mkuu wowote

Leo kwa mara ya kwanza nakuunga mkono Le Profeseri
 
Leo na yeye analia!

Bado wana-CCM wanaodhani wako salama.
Huyo ndio mpinzani hasa aliwahi kuvunjwa mguu na ni muazilishi wa UKAWA ila Mbowe na Seif ndio kibaraka wameenda kumchukua kada wa CCM kuja kugombea upinzani na hata Lissu sitoshangaa siku akichukua kadi ya CCM kama walivyochukua Slaa na yule Msukuma alikuwa katibu wenu
 
 
Hapo ndipo Lipumba unatoka nje ya goli kabisa.
 
Professor uchwara baada ya kuona hesabu hazisomeki vizuri za ruzuku kaona aunge msafara wa mamba
 
Hivi Lipumba naye anahisi walimuibia kura zake za Urais?
 
Kugundua na kuanza mchakato siyo upumbavu, kwa sababu bado kutakua na chaguzi, 2024 mitaa, na 2025! Tanzania bado itakuwepo pia, kwa hiyo harakati za leo siyo upumbavu, kwa wanao ona mbali!
 
Hivi Lipumba alipata kura ngapi vile.
Ni aibu kudhani naye angeweza kushinda kuwa Rais wa JMT
 
Lipumba bana, alitakiwa ashinde njaa kabla uchaguzi ili Mungu amuingize Ikulu, Mungu kishafanya yake yeye ndio anastuka kushindisha watu njaa!
 
Nani atamuamini Lipumba ? huyu aliacha uenyekiti wa Cuf 2015 lakini baadaye akaurudia !
 
Akili inaanza kummkaa sawa hivi………….
 
Siwezi kumuamini Lipumba kwa jambo lolote lile.......PROFESSOR UCHWARA LIPUMBA NI MNAFIKI ALIYEKUBU.
 
Wenzake wameitisha màandamano mtandaoni nae kaona aitishe maombi mtandaoni, JPM hamtakaa mumsahau yaani full kuweweseka baada ya kipigo Cha shoga mwizi October 28.
 
Lipumba akamatwe haraka sana kwa kutaka kuhatarisha amani ya nchi pale wananchi watakaposhinda bila kula.
Ndio tunafunga na ikifikia jioni tunaomba dua kwa wote walisimamia uchaguzi na hawakutenda haki Mwenyezi Mungu awaadhibu kwa haki waliyotunyima kutupatia
 
Jiwe alishaahidi ataua vyama vyote vya upinzani 2020 ibaki CCM pekee.
 
Lipumba na Mbatia waliingizwa mkenge na CCM wametumika kama mpira wa kufanyia mapenzi, saa hii hawana lolote CCM wanawachora tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…