Uchaguzi 2020 CUF yatangaza kutoshiriki Uchaguzi Mkuu wowote

Lipumba kitambo sana kwenye Gemu ila bado hajatoka
 
Bado na Mbatia naye aliye ahidiwa kuwa chama chake kitakuwa chama kikuu cha upinzani atajitokeza hadharani kulia maumivu. Wakimalizika wote wanaingia ccm wenyewe kwa wenyewe kulana mikia ili kumfurahisha bwana mkubwa


Yametimia!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…