Ulitaka kuandika nini?Inashangaza kwa kweli.
Yaani sasa hivi watu wamejaa mihemko tu na kuabudu watu fulani tu.
Yaani wanatamani kama team ya mpira inayofanya vizuri iwe Simba au Yanga.
Kama ni msanii, wanataka awe msanii wao tu Alikiba, Harmonize, au Diamond
Kama ni siasa wanaamini mtu wao yeye ni malaika hajawahi kukosea.
Na kibaya zaidi kwenye CULTS watu fulani wamekuwa wakijipenyeza kupiga pesa za followers.
Je, kwa hizi cults ni nini matokeo mwisho wake ?
Kuna watu ili waelewe inabidi uandike Gazeti. Too bad, sisi wengine ni wavivu wa kuandika maandiko marefu.Ulitaka kuandika nini?
Kuna watu ili waelewe inabidi uandike Gazeti. Too bad, sisi wengine ni wavivu wa kuandika maandiko marefu.
Jaribu kufuatilia mashabiki wa Simba na Yanga wanavyoiponda na kuitukana Biashara United kwasababu huwa inazifunga hizo team.
Hivi huwa huoni tatizo nchi hii sasa hivi, inaonekana watu fulani:
- Hawajawahi kukosea hata mara moja.
- Kila wanachokifanya wao huwa ni sahihi tu.
- Kuna watu fulani hata wafanye kitu fulani kwa uzuri kiasi gani hawawezi kuonekana, zaidi ya kuanzishiwa vita ya chuki ?
Bado hujaelewa tu ?
Kwamba kabla ya kutukana wamekuwa wakijitambulisha kwamba wao ni mashabiki wa simba na YANGA?Kuna watu ili waelewe inabidi uandike Gazeti. Too bad, sisi wengine ni wavivu wa kuandika maandiko marefu.
Jaribu kufuatilia mashabiki wa Simba na Yanga wanavyoiponda na kuitukana Biashara United kwasababu huwa inazifunga hizo team.
Hivi huwa huoni tatizo nchi hii sasa hivi, inaonekana watu fulani:
- Hawajawahi kukosea hata mara moja.
- Kila wanachokifanya wao huwa ni sahihi tu.
- Kuna watu fulani hata wafanye kitu fulani kwa uzuri kiasi gani hawawezi kuonekana, zaidi ya kuanzishiwa vita ya chuki ?
Bado hujaelewa tu ?
Mtu akikwambia Biashara walihongwa na RC ili waichezee rough Simba utahitaji akili ipi kujua huyo ni shabiki wa Simba.Kwamba kabla ya kutukana wamekuwa wakijitambulisha kwamba wao ni mashabiki wa simba na YANGA?