I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Kama mteja, uliwahi kukumbana na aina gani ya ugumu pale ulipohitaji msaada kutoka kwa huduma kwa wateja?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya hapo wanakukatia simu😂simu yako imesubirishwa
wasemge sana haswa tigoBaada ya hapo wanakukatia simu😂
Haaahaa
Kuna vibibi viko mapokezi za mahakama zetu, vinakupokea vikitabasamu utadhani vinakupenda, jichanganye na wewe vikenulie meno utatolewa upepo ujute kuzaliwaKama mteja, uliwahi kukumbana na aina gani ya ugumu pale ulipohitaji msaada kutoka kwa huduma kwa wateja?
Mimi napenda sana hizi hip hop.Haaahaa
Wenge..wengeee
P_mawenge amewakilisha vyemaa
Madam B ,
Kumbe unasikilizaga hip hop chakula ya ubongo..