Customer Care wote wa CRDB, NMB, Voda & Tigo - jiandaeni kufukuzwa kazi

tatizo mnapenda ove rate mambo na kwenda na mkumbo.
lisome soko.
soko sio mtoa huma tu.kuna upande wa pili wa anayehudumiwa (mteja).
kila mteja ana culture yake juu ya namna anavyopenda kuhudumiwa.
Watoa huduma wengi wanaweza impose taratibu za kisomi katika operations zao lakin sio wateja wote ni wasomi kuendana na hizo mambo hapo ndio mkwamo unapokuja.

msiongelee haya mambokatika idea level..shuken mpaka huku chini kabisa katika "inteded users" level.

Mpaka leo hii, utamudinisimple tu wa kutumia softwares kwenye ku ru company operations tuu bado ni changamoto.
watu hawana readness kama sio interests za haya mambo kwenye ulimwengu huu wa 3.

Pita mashuleni check filing systems zao..pita kwenye maofis ya watu binafsi na serikali uone recording systems zao and how they run and store data.....utachoka.

conclusion ni kwamba hiz mambo ni hypothetical tuu when it comes to user acceptance at user/customer level.
 
Hakuna accuracy protocol ya kuhudumiwa na robot bhna, Huduma zitakuwa mbovu kihasi flan,na hawa wahudumu wabadilike wanakera
wahudumu especiaaly katika customer care ni wabovu sana.
imagine i called Tigo one day asking for intergrated bulk sms service, jamaa akanambia, sikushauri utumie huduma zetu, ngoja nikupe namba za watu wa Voda watakusaidie ahahahahahaha.
 
tatizo mnapenda ove rate mambo na kwenda na mkumbo.
lisome soko.
soko sio mtoa huma tu.kuna upande wa pili wa anayehudumiwa (mteja).
kila mteja ana culture yake juu ya namna anavyopenda kuhudumiwa.
Watoa huduma wengi wanaweza impose taratibu za kisomi katika operations zao lakin sio wateja wote ni wasomi kuendana na hizo mambo hapo ndio mkwamo unapokuja.

msiongelee haya mambokatika idea level..shuken mpaka huku chini kabisa katika "inteded users" level.

Mpaka leo hii, utamudinisimple tu wa kutumia softwares kwenye ku ru company operations tuu bado ni changamoto.
watu hawana readness kama sio interests za haya mambo kwenye ulimwengu huu wa 3.

Pita mashuleni check filing systems zao..pita kwenye maofis ya watu binafsi na serikali uone recording systems zao and how they run and store data.....utachoka.

conclusion ni kwamba hiz mambo ni hypothetical tuu when it comes to user acceptance at user/customer level.
Boss , umeongea mengi sana
Mada yako naona imejikita kwa mtumiaji kuwa si msomi. Ila robot haitaji usomi
Je watu wa Tanzania hii hawawezi kutumia M-Pesa au kuingia katika menu na kununua kifurushi? - Hivyo ndivyo hiyo robot anafanya kazi
 
157611.jpg

Ajira zote zitaishaga tubaki na kilimo!
KARIBUNI NG'WANZA TULIMAGE BAGOOSHAA!
 
Hahahaaa!!! Kajipange kiongozi kwa Tanzania bado. Na pia watawala hawatakua tayri kuruhusu robot kufanya kazi kama ulio itaja. Mfano mzuri ni STARLINK kukataliwa na kusajiliwa Tanzania. Ilikua waanze mwezi wa 3.
 
Starlink ni robot?
Pili , ulishawahi kutumia usafiri wa mwendokasi? - sehemu ya kuingilia ikoje?
Hautumii ATM na M-Pesa? Vuta picha ni watu ndiyo wanakupa huduma na sio computer

Hauwezi kuzuia mabadiliko ,
Tulizaliwa tukakuta mabadiliko na tutakufa tuyaache mabadiliko

Cashless iko njiani
 
Ni swala la muda muda tu , watu wengi wataachishwa kazi kwenye makampuni makubwa, kutokana na kukua kwa teknolojia.

Kuna robot anaye-trend huku mtandaoni , anaitwa ChatGPT. Huyu robot anauwezo wa kukujibu swali lolote kwa sekunde 1.

Tukija kwenye swala la customer care wetu, mko wengi sana na mpaka mteja ahudumiwe atasubiri hata kwa zaidi ya dakika 15.

Hii ni tofauti kwa huyu robot , ndani ya sekunde unajibiwa swali lako.

Makampuni mengi yatawafukuza, kutokana na gharama ya mishahara na kazi zao kutoonekana.

Gharama ya robot wa ChatGPT inaweza isizidi 20 Million , ukilinganisha na kulipa mabilioni ya ela kwa customer care.

Sekta zingine ni waalimu , madereva - hawa wote waachishwa kazi.

KUMBUKA: Dunia ipo kasi sana,
2011 - Smartphone zilikua za kusebu Tanzania . Lakini miaka 12 baadae , yaani leo , kila mtu ana smartphone ( Hadi Mama yangu mzazi )

Gari likijipaki lenyewe , bila ya dereva - Parking Assistant

View attachment 2557710
Hiii gari ni nzuri sana yaani ukipiga tukio mahali wewe unailekeza tu tukutane mahali mbele kwa mbele.
 
Gharama ya robot wa ChatGPT inaweza isizidi 20 Million , ukilinganisha na kulipa mabilioni ya ela kwa customer care.

Sekta zingine ni waalimu , madereva - hawa wote waachishwa kazi.

KUMBUKA: Dunia ipo kasi sana,
2011 - Smartphone zilikua za kusebu Tanzania . Lakini miaka 12 baadae , yaani leo , kila mtu ana smartphone ( Hadi Mama yangu mzazi )
Huenda zikachukua nafasi ya kusahihisha lugha pia
 
Back
Top Bottom