FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Makaratasi siyo yanayofanya kazi.Mods naomba usiunganishe uzi huu na nyuzi nyingine.
Kikeke kutangaza BBC ni sababu ya uwezo na kipaji sio vyeti.
Baada ya vetting CV yake ina ukakasi, huwezi kuzaliwa 1978 ukawa na diploma 1994, age mate wake tunafahamu kuwa enzi zile kuanza darasa la kwanza ni miaka nane au tisa, so utamaliza darasa la saba na miaka 14, jumlisha miaka 4 ya sekondari jumla 18, jumlisha miaka 2 ya Diploma jumla 20 sasa yeye anadai akimaliza diploma namiaka 16 ina maana alianza darasa la kwanza na miaka 4!
Kumbuka hiyo ni diploma ya umwagiliaji toka Chuo cha kilimo Nyegezi.
Alikuja kujiendeleza kwa certificate ya uandishi wa habari miezi mitatu, hakuna vyeti zaidi vya uandishi wa habari alivyonavyo
Uchunguzi umebaini ana miaka 50+
Tunatambua kipaji chake ila kwa ukakasi wa CV yake unatia shaka.
Nani aliwambia kuwa Kikeke kawacha kazi BBC kwa kuwa atapewa kazi na serikali ya Tanzania?