Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wivu tuNi wivu au ni nini hiki?
Kikeke kutangaza BBC ni sababu ya uwezo na kipaji sio vyeti.
Baada ya vetting CV yake ina ukakasi, huwezi kuzaliwa 1978 ukawa na diploma 1994, age mate wake tunafahamu kuwa enzi zile kuanza darasa la kwanza ni miaka nane au tisa, so utamaliza darasa la saba na miaka 14, jumlisha miaka 4 ya sekondari jumla 18, jumlisha miaka 2 ya Diploma jumla 20 sasa yeye anadai akimaliza diploma na miaka 16 ina maana alianza darasa la kwanza na miaka 4!
Kumbuka hiyo ni diploma ya umwagiliaji toka Chuo cha kilimo Nyegezi.
Alikuja kujiendeleza kwa certificate ya uandishi wa habari miezi mitatu, hakuna vyeti zaidi vya uandishi wa habari alivyonavyo
Uchunguzi umebaini ana miaka 50+
Tunatambua kipaji chake ila kwa ukakasi wa CV yake unatia shaka.
Hayo maCV wenzenu waliacha muda mrefu kuyaangalia wanafocus kwenye uwezo wakufanya kazi tu na uzoefu tena hapa ndio kuna uchakuaji mkubwa wa vyetiKikeke kutangaza BBC ni sababu ya uwezo na kipaji sio vyeti.
Baada ya vetting CV yake ina ukakasi, huwezi kuzaliwa 1978 ukawa na diploma 1994, age mate wake tunafahamu kuwa enzi zile kuanza darasa la kwanza ni miaka nane au tisa, so utamaliza darasa la saba na miaka 14, jumlisha miaka 4 ya sekondari jumla 18, jumlisha miaka 2 ya Diploma jumla 20 sasa yeye anadai akimaliza diploma na miaka 16 ina maana alianza darasa la kwanza na miaka 4!
Kumbuka hiyo ni diploma ya umwagiliaji toka Chuo cha kilimo Nyegezi.
Alikuja kujiendeleza kwa certificate ya uandishi wa habari miezi mitatu, hakuna vyeti zaidi vya uandishi wa habari alivyonavyo
Uchunguzi umebaini ana miaka 50+
Tunatambua kipaji chake ila kwa ukakasi wa CV yake unatia shaka.
Hana wivu.Ni wivu au ni nini hiki?
Acha chuki wewe haikufikishi popote
acha porojo za kijinga wewe. angekuwa na masters, angeshapata appointment. samia si mjinga amtoe mtu BBC ana qualifications zote kisha amuache tu hapa bongo mitaani....jamaa ni mweupe peeee, hana kitu.Ana masters ila sio hiyo dip unayodanganywa
UchawiNi wivu au ni nini hiki?
Ya Mwigulu au hata jina lake la Ubatizo unayajua ?Kikeke kutangaza BBC ni sababu ya uwezo na kipaji sio vyeti.
Baada ya vetting CV yake ina ukakasi, huwezi kuzaliwa 1978 ukawa na diploma 1994, age mate wake tunafahamu kuwa enzi zile kuanza darasa la kwanza ni miaka nane au tisa, so utamaliza darasa la saba na miaka 14, jumlisha miaka 4 ya sekondari jumla 18, jumlisha miaka 2 ya Diploma jumla 20 sasa yeye anadai akimaliza diploma na miaka 16 ina maana alianza darasa la kwanza na miaka 4!
Kumbuka hiyo ni diploma ya umwagiliaji toka Chuo cha kilimo Nyegezi.
Alikuja kujiendeleza kwa certificate ya uandishi wa habari miezi mitatu, hakuna vyeti zaidi vya uandishi wa habari alivyonavyo
Uchunguzi umebaini ana miaka 50+
Tunatambua kipaji chake ila kwa ukakasi wa CV yake unatia shaka.
Masters bila Bachelor????Uchimbaji wa chumvi...
Wachimba chumvi na waso haya na mji wao ....
Kaka yetu tumwache apumue....
Nazo ziko zisemazo ana "masters" ya huko Uingereza[emoji120]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwani alikuambia kuwa anataka kuajiriwa na Samia au ni intuition zako na insight ndo zinazokuambia weww na kukudanganya hivyo.....acha porojo za kijinga wewe. angekuwa na masters, angeshapata appointment. samia si mjinga amtoe mtu BBC ana qualifications zote kisha amuache tu hapa bongo mitaani....jamaa ni mweupe peeee, hana kitu.
Na kama anadai ana masters, lakini appointment ndiyo hivyo tena basi hiyo masters yake ameipata kwenye Diploma mill....TCU wameipiga chini.
Kwani alikuambia kuwa anataka kuajiriwa na Samia au ni intuition zako na insight ndo zinazokuambia weww na kukudanganya hivyo.....
Majarida mbali mbali ya makisio kama forbes na mengine walitangaza Kuwa Salimu Ana networth ya $1.5Mil ambayo ni sawa na Tsh Bilion 3.6.
Shida yetu wabongo Tunataka kuwa wasemaji wa Maisha ya watu Kwa kuwa tunaona inafaa kufanya hivyo....
Akija mtu akanipa uhkika kuwa aliongea na Salimu kuhusu Kwamba ameacha kazi ili achaguliwe hapo sawa ila huwa sijibizani na mtu mwenye hisia Butu....
Kingine Salimu kasoma Birk university of london alipopata Bachelor Degree in International Relation....
Sasa nenda Kaulize kokote kuhusu Birk university halafu njoo linganisha na hivyo vi vyuo vyenu uchwaea vya teofilo kisanji ,Udom,Na vingine...
Kuna wakati ni bora kuficha utumbo uliopo kichwani mwako....
TCU ndo waje waijaji Birk University of London 🤣🤣🤣 kalale Boss...
Na nimependa Signature yako na sita -under estimate power yenu kwa sababu naona mko wengi sana
Aliajiriwa mbele,je hawakuona ukakasi huo?Kikeke kutangaza BBC ni sababu ya uwezo na kipaji sio vyeti.
Baada ya vetting CV yake ina ukakasi, huwezi kuzaliwa 1978 ukawa na diploma 1994, age mate wake tunafahamu kuwa enzi zile kuanza darasa la kwanza ni miaka nane au tisa, so utamaliza darasa la saba na miaka 14, jumlisha miaka 4 ya sekondari jumla 18, jumlisha miaka 2 ya Diploma jumla 20 sasa yeye anadai akimaliza diploma na miaka 16 ina maana alianza darasa la kwanza na miaka 4!
Kumbuka hiyo ni diploma ya umwagiliaji toka Chuo cha kilimo Nyegezi.
Alikuja kujiendeleza kwa certificate ya uandishi wa habari miezi mitatu, hakuna vyeti zaidi vya uandishi wa habari alivyonavyo
Uchunguzi umebaini ana miaka 50+
Tunatambua kipaji chake ila kwa ukakasi wa CV yake unatia shaka.
Umeshaambia alitoka BBC kwa ahadi kuwa atateuliwa kuwa msemaji wa serikali. Kisha unauliza swali kuhusu kuajiriwa na Samia? la sivyo he is among those cracked down by UK government kwa kuwa na fake degree na kudai kuwa ni uwepo wa uteuzi ni kuficha tu ukweli.
......Uingereza hakuna chuo kikuu kinaitwa Birk University of London. Kuna Birkbeck College ambacho ni mojawapo ya colleges zinazounda University of London........ Kadanganye wasiojua.
Unless you tell me he has a Mickey Mouse Masters degree nitakuelewa. Ambayo ni useless degree, haiajiriki.
Hiyo Birk university unaijua wewe usiyejua kwa undani kuhusu diploma mills
Uingereza hakuna chuo kikuu kinaitwa Birk University of London. Kuna Birkbeck College ambacho ni mojawapo ya colleges zinazounda University of London........
Hiyo Birk university unaijua wewe usiyejua kwa undani kuhusu diploma mills
Umeshaambia alitoka BBC kwa ahadi kuwa atateuliwa kuwa msemaji wa serikali. Kisha unauliza swali kuhusu kuajiriwa na Samia?
acha porojo za kijinga wewe. angekuwa na masters, angeshapata appointment. samia si mjinga amtoe mtu BBC ana qualifications zote kisha amuache tu hapa bongo mitaani....jamaa ni mweupe peeee, hana kitu.