Msanii bora wewe umeona ujinga uliowajaa watu. Wanasumbuka na vyeti badala ya ujuzi, uzoefu na uwezo wa mtu. Ndio maana imefikia hatua watu kama akina Musukuma, babu Tale na wengineo wanunua PhD.BBC walikuwaje wakamchukua?
Watanzania mna ushubwada mwingi sana. Mavyeti vyeti ndo yametufikisha hapa kwemye mkwamo. Wenye akili wanaangalia uwezo na siyo mavyeti ambayo hata pets wanaweza kuwa nayo
Hata hivyo Kikeke hajawatangazia kuwa aliacha kazi BBC kuja kutafuta ajira serikalini wala hajalalamika popote!!