CV ya Kikeke ina Ukakasi hawezi kuajiriwa serikalini, alianza darasa la kwanza na miaka 4

Acha kukariri dogo.

Vijijini ndio mlikuwa mnaanza shule na miaka 60 hiyo, mijini kuanza la kwanza na miaka 4 au 5 kawaida sana
Kweli mkuu! Mimi watoto wangu zaidi ya 4 walianza darasa la kwanza wakiwa na miaka 5.
 
Mods naomba usiunganishe uzi huu na nyuzi nyingine.

Kikeke kutangaza BBC ni sababu ya uwezo na kipaji sio vyeti.

Baada ya vetting CV yake ina ukakasi, huwezi kuzaliwa 1978 ukawa na diploma 1994, age mate wake tunafahamu kuwa enzi zile kuanza darasa la kwanza ni miaka nane au tisa, so utamaliza darasa la saba na miaka 14, jumlisha miaka 4 ya sekondari jumla 18, jumlisha miaka 2 ya Diploma jumla 20 sasa yeye anadai akimaliza diploma namiaka 16 ina maana alianza darasa la kwanza na miaka 4!

Kumbuka hiyo ni diploma ya umwagiliaji toka Chuo cha kilimo Nyegezi.

Alikuja kujiendeleza kwa certificate ya uandishi wa habari miezi mitatu, hakuna vyeti zaidi vya uandishi wa habari alivyonavyo

Uchunguzi umebaini ana miaka 50+

Tunatambua kipaji chake ila kwa ukakasi wa CV yake unatia shaka.
Kisha afanya degree mbili kati ya 2011 - 2015 Birkbeck College, University of London, huku akitokea darasa la saba jiongeze, jamaa ni bumbla ana karama ya mdomo tu maana mtoto wa Dar es Salaam, lakini kichwani hamna kitu pale.
1696263516654.png
 
Attachments

Tatizo nilikuwa kijijini ndio nmeingia mjini mwezi huu afu naona huyu mtu kikeke anatrend kinoma naomba darasa ndugu
... chawa wa mama wamemshindanisha na mtu na nusu, ni kama walimtakia kupigwa masumbwi katika round ya kwanza in knock out linganisha
 
Attachments

Mods naomba usiunganishe uzi huu na nyuzi nyingine.

Kikeke kutangaza BBC ni sababu ya uwezo na kipaji sio vyeti.

Baada ya vetting CV yake ina ukakasi, huwezi kuzaliwa 1978 ukawa na diploma 1994, age mate wake tunafahamu kuwa enzi zile kuanza darasa la kwanza ni miaka nane au tisa, so utamaliza darasa la saba na miaka 14, jumlisha miaka 4 ya sekondari jumla 18, jumlisha miaka 2 ya Diploma jumla 20 sasa yeye anadai akimaliza diploma namiaka 16 ina maana alianza darasa la kwanza na miaka 4!

Kumbuka hiyo ni diploma ya umwagiliaji toka Chuo cha kilimo Nyegezi.

Alikuja kujiendeleza kwa certificate ya uandishi wa habari miezi mitatu, hakuna vyeti zaidi vya uandishi wa habari alivyonavyo

Uchunguzi umebaini ana miaka 50+

Tunatambua kipaji chake ila kwa ukakasi wa CV yake unatia shaka.
Mdukuzi, sina shida na udukuzi wako. Kama Kikeke kadanganya CV yake hilo ni jambo lingine, lakini kama alitimiza minimum academic qualification kwenye hiyo kazi aliyotakiwa kufanya shida iko wapi? Tatizo la utumishi ktk nchi yetu ni kule kuangalia kiwango na idadi ya vyeti bila kujali ujuzi na uzoefu wa mtu kwenye kazi yenyewe.

Lakini hata hivyo, ni nani aliwatangazia kuwa Kikeke atakuwa msemaji wa Serikali baada ya Msigwa? Nani kawaambia kuwa Kikeke ameacha kazi ili serikali imuajiri?
 
Mods naomba usiunganishe uzi huu na nyuzi nyingine.

Kikeke kutangaza BBC ni sababu ya uwezo na kipaji sio vyeti.

Baada ya vetting CV yake ina ukakasi, huwezi kuzaliwa 1978 ukawa na diploma 1994, age mate wake tunafahamu kuwa enzi zile kuanza darasa la kwanza ni miaka nane au tisa, so utamaliza darasa la saba na miaka 14, jumlisha miaka 4 ya sekondari jumla 18, jumlisha miaka 2 ya Diploma jumla 20 sasa yeye anadai akimaliza diploma namiaka 16 ina maana alianza darasa la kwanza na miaka 4!

Kumbuka hiyo ni diploma ya umwagiliaji toka Chuo cha kilimo Nyegezi.

Alikuja kujiendeleza kwa certificate ya uandishi wa habari miezi mitatu, hakuna vyeti zaidi vya uandishi wa habari alivyonavyo

Uchunguzi umebaini ana miaka 50+

Tunatambua kipaji chake ila kwa ukakasi wa CV yake unatia shaka.
Na huko Uingereza eti alisoma degree mbili kwa pamoja kati ya mwaka 2011 - 2015 tena Birbeck College, University of London
Bachelor's degree, International Relations and Affairs · (2011 - 2015)
Bachelor of Arts (BA), Global Politics & International Relations · (2011 - 2015)
Haingii akili mtoto wa Dar es Salaam tena darasa la saba, kwenda kwenyewe shule kwa mtoto wa Dar es Salaam lazima apewe escort ya polisi na mgambo wawili, mdomo YES naupiga mwingi ila upstairs hamna kitu pale "coeficiente intelectual cero" kabla ya kumwita walikupaswa kujiridhisha kwanza. Huwezi enda Birbeck College for Undergraduate kwa elimu ya kuungaunga.
 
Attachments

Back
Top Bottom