CV ya Kikeke ina Ukakasi hawezi kuajiriwa serikalini, alianza darasa la kwanza na miaka 4

Makaratasi siyo yanayofanya kazi.

Nani aliwambia kuwa Kikeke kawacha kazi BBC kwa kuwa atapewa kazi na serikali ya Tanzania?
 
sasa unajua kwanininalianua mwenyewe kuacha kazi bbc?
 
This is Fact
Tamko rasmi la serikali pori
Tunampenda Kikeke lakini CV inamkataa
Aliajiriwa ITV kwa vyeti gani? Kama BBC waliangalia kipaji kwa nini Serikali ya Tanzania isiangalie hilo? Ndo mana vipaji vinapotea! Ndo mana nchi zetu Afrika tunafeli, mnaangalia mivyeti!
Halafu mbunge anatakiwa kujua kusoma na kuandika tu, anawakilisha jimbo, anachaguliwa waziri, mtunga sheria, lakini eti mkurugenzi au katibu mkuu awe na masters degree!!!!
 
Makaratasi siyo yanayofanya kazi.

Nani aliwambia kuwa Kikeke kawacha kazi BBC kwa kuwa atapewa kazi na serikali ya Tanzania?
Kuna post serikalini makaratasi muhimu sana,huwezi kuwa mkurugenzi wa MAELEZO na msemaji wa serikali na diploma ya irrigation
 
Serikali ina mwongozo maalumu kwa kila post minimum qualification
 
Kuna post serikalini makaratasi muhimu sana,huwezi kuwa mkurugenzi wa MAELEZO na msemaji wa serikali na diploma ya irrigation
Nani alikwambieni kuwa kawacha kazi BBC kwa kuwa atapewa hiyo kazi? Mnaota?
 
Hiyo cv Iko wapi? Tuhuma kama hizi zinahitaji evidence, strong evidence
 
Hizo ajira serikalini unazitoa wewe? Halafu nani kakwambia Kikeke anatafuta ajirani serikalini? Wivu wa kike tu umekujaa. Unajitekenya na kucheka mwenyewe!
 
Huyu bwana asingeweza kupata kazi kwenye serikali hii hata angekuwa na vyeti toka kuzimu kutokana na interview yake na Samia alipomkomalia bila kupepesa macho kuhusu KATIBA mpya!!
I have no doubt about his professionalism as a journalist.
 
Hizo ajira serikalini unazitoa wewe? Halafu nani kakwambia Kikeke anatafuta ajirani serikalini? Wivu wa kike tu umekujaa. Unajitekenya na kucheka mwenyewe!
Imekula kwenu wewe na mumeo kikeke,
 
Kama ni genius,wanafunzi walikuwa wanarushwa madarasa zamani na hata siku shule za binafsi zinawarusha madarasa watoto wenye vipaji
 
nijuavyo, ni mtu mzima ila ana mapepe. ila kuhusu CV, asingeajiriwa BBC kama angekuwa na CV ya makandokando. wazungu hawapo kama ninyi wandengereko.
 
Ila swala la kujiendeleza linatupa shida sana watanzania wengi, watu hawaamini katika kujifunza wanapenda nje wengi wanarudi nyumbani kama walivyotoka na ndio maana wanahangaika kutafuta tana kazi Kwa kutegemea unaarufu wao badala ya ujuzi. Lakini pia tufahamu sio kila mtangazaji ni mwandishi wa habari. Na hata vigezo vyao ni tofauti. Mtangazaji wa habari ni News reader zaidi anahusishwa na uwezo wake wa kufikisha ujumbe vigezo vya Lugha, sauti na Kwa vyombo vya picha kama tv, muonekano wake. Mwandishi wa habari yeye hupimwa Kwa uwezo wake wa utafuti, utengenezaji habari yenyewe, ufahanu wa mpelekewa habari na mambo magumu kama hayo..Bado naamini kufanya kazi nje ni shule kubwa, ni bahati mbaya ni media Chache zenye uwezo wa kuwapokea. Bado naona Kaka SK hajapata mahali sahihi.
 
Yan watu wanahangaika ilihali mwenywe yupo zake anakula maisha
Tunapenda ku guess sana.unajuaje kwa hela aliyofanya zake saving na labda ana mirad yake aliyoanzishaga kipind yupo ulaya je unadhan haiwez kumfanya awe anafurahia maisha yake
Kama shida ilikua kaz unadhan angestaafu bbc na kurud nyumban kama shida unayohis wewe ni kaz.
 
Mwenyewe wala hana habari wanaoumia ni wengine

Ova
 
VETTING ya mulungu imezidiwaa ubora na ya Bongo? Jamaa si alikua anakula pound sterling huyu, af chombo kikubwa cha habar Duniani. Acheni majungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…