Sodoku Myebusi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,319
- 3,004
Amezaliwa 1983
Ameanza Darasa la kwanza mwaka 1988 akiwa na miaka Mitano (5)
Amemaliza Darasa la saba mwaka 1995 akiwa na miaka 12.
Amesoma Darasa la kwanza mpaka la Saba kwa miaka 8.😨😨😨
Ameanza Secondary mwaka 1996 mpaka 2004 yaani amesoma Form one mpaka Form six kwa miaka 9😨😨😨
Darasa la kwanza mpaka form 16 amesoma kwa miaka 16.😨😨😨
Hii Elimu inawezekanaje kupatikana kwa miaka hii inayotajwa?
Miaka ya 1970-1990 Mwanafunzi anaanza Darasa la kwanza akiwa na miaka kuanzia 7 na kuendelea lakini mwamba alianza na miaka Mitano (5)
Nikisema WanaCcm wanapenda NAMBA lakini hawajui HESABU huwa sikosei.
Taifa linaangamia kwasababu tumekubali kufanywa Wajinga na Watu wachache
Elimu ya kuunga unga.
Ipo UingerezaSecondary school kasoma Merton College? Iko wapi hii?
Ina website?Ipo Uingereza
Na hapo kwenye College aliposomea advance nimeshindwa kuelewa kabisa pia hapo kwenye mwaka 1999 alafu ikaja 2002 ni kwamba alipatwa na ugonjwa wa degedege akasimama kusoma au???? Aiseeee hii CV hata nikiipeleka kupata kazi ya saidia fundi lazima awe na mashakaMwaka alioanza shule na mwaka aliozaliwa kuna ukakasi sana...natamani atokee mmoja humu anaemfahamu vzr huyu jamaa.
Hii inaikumbusha mwaka 1995 Anthony Diallo aliwekaga CV ya kubumba kwamba ana degree baada ya uchaguzi nilikutana naye Mwanza Hotel akanionyesha kitambulisho chake ati kajiunga na Open Unversity Tawi la Mwanza nilishindwa kumuuliza maana kulikua na watu wengi kama ile degree ya kwenye karatasi aliitoa wapiMwaka alioanza shule na mwaka aliozaliwa kuna ukakasi sana...natamani atokee mmoja humu anaemfahamu vzr huyu jamaa.