CV ya Makamu wa Rais. Vijana/Wasomi acheni kuchunguza chunguza mambo mpeni tu Ushirikiano.

Huyo ni makamu haramu wa Samia.

Uchaguzi wa kumpata rais na makamu rais wa Tanzania haukufanyika .

Kwa kifupi Ndejembi ni kama secretary wa Samia ambaye ni Mr YES kwa kila kitu kwa Samia.

Kule Kenya Gachagua anamwita Kindiki Mr YES SIR ndio sawa na huyu Ndejembi.
Garbage 🗑️ IN.... Garbage 🗑️ OUT kama Samia,... elimu za kuungaunga na kupambwa na degree /Doctorate za uheshimiwa kutoka vyuo visivyo na majina vinavyopambania kutambulika. 😳
 
Amezaliwa 1983
Ameanza Darasa la kwanza mwaka 1988 akiwa na miaka Mitano (5)
Amemaliza Darasa la saba mwaka 1995 akiwa na miaka 12.
Amesoma Darasa la kwanza mpaka la Saba kwa miaka 8.😨😨😨

Ameanza Secondary mwaka 1996 mpaka 2004 yaani amesoma Form one mpaka Form six kwa miaka 9😨😨😨

Darasa la kwanza mpaka form 16 amesoma kwa miaka 16.😨😨😨

Hii Elimu inawezekanaje kupatikana kwa miaka hii inayotajwa?

Miaka ya 1970-1990 Mwanafunzi anaanza Darasa la kwanza akiwa na miaka kuanzia 7 na kuendelea lakini mwamba alianza na miaka Mitano (5)

Nikisema WanaCcm wanapenda NAMBA lakini hawajui HESABU huwa sikosei.

Taifa linaangamia kwasababu tumekubali kufanywa Wajinga na Watu wachache

Elimu ya kuunga unga.

1. Canon Andrew Mwaka ni International School, hawafuati hii Carriculum yetu ya kushika sikuo na kuhesabu miguu ya panzi.
Amezaliwa 1983
Ameanza Darasa la kwanza mwaka 1988 akiwa na miaka Mitano (5)
Amemaliza Darasa la saba mwaka 1995 akiwa na miaka 12.
Amesoma Darasa la kwanza mpaka la Saba kwa miaka 8.😨😨😨

Ameanza Secondary mwaka 1996 mpaka 2004 yaani amesoma Form one mpaka Form six kwa miaka 9😨😨😨

Darasa la kwanza mpaka form 16 amesoma kwa miaka 16.😨😨😨

Hii Elimu inawezekanaje kupatikana kwa miaka hii inayotajwa?

Miaka ya 1970-1990 Mwanafunzi anaanza Darasa la kwanza akiwa na miaka kuanzia 7 na kuendelea lakini mwamba alianza na miaka Mitano (5)

Nikisema WanaCcm wanapenda NAMBA lakini hawajui HESABU huwa sikosei.

Taifa linaangamia kwasababu tumekubali kufanywa Wajinga na Watu wachache

Elimu ya kuunga unga.
1. Canon Andrew Mwaka ni International School. Inatumia Carriculum za Uingereza (Cambridge).
2. Elimu ya Msingi mfumo wa Cambridge ni miaka 8. Hivyo, Deo kusoma primary miaka 8 no sawa.
3. Shule za International School kuanza shule miaka 5 ni kawaida maana hadi miaka 4 wanaruhusiwa kwa mfumo wao na Hazina ushindani wa uwingi wa watu kutokana na gharama zao, hivyo hamna sababu ya hadi kushika sikuo ndo uanze shule.
4. Hizo Shule za Sekondari alizosoma ni za Private. Hivyo baada ya kumaliza Form IV atakuwa alipumzika kwanza.

Elimu ya Deo Njedembi haina mushkeli na imenyooka Ile mbaya. Mhe. Ni kichwa na kiongozi mzuri sana labda kwa vile haumjui vizuri. Baba yake ni Mgogo halisi, mama yake ni chotara wa Kiaarabu.
 
Au wewe ndo Deo mwenyewe Mr Vaisi prezooo
 
Hapana. Mimi Mgogo TU wa hapa kwao CHILONWA, CHAMWINO. Mhe. yupo vizuri sana. Mtakuja kumuelewa mbeleni. Hata ikitokea Mungu kufanya yake kama ilivyotojea kwa Jiwe nchi haitapata aibu kwa huyu kijana kushika usukani
 
Mm kwenye elimu zake hizo siongezi neno, ila hapo kwenye kumuelewa mbeleni ni uongo maana huyu dogo kwenye ofisi zake nishafika na Kuna madudu mengi tu anayasimamia hasa wale wasaidizi na Kuna msaidizi wake mmoja alimsimamisha kazi alienda tofauti na maagizo yake,kiufupi tu huyu dogo ni dalali mmoja mjanja mjanja na sitoshangaa safari za nje zikawa nyingi kwake
 
Hapana. Mimi Mgogo TU wa hapa kwao CHILONWA, CHAMWINO. Mhe. yupo vizuri sana. Mtakuja kumuelewa mbeleni. Hata ikitokea Mungu kufanya yake kama ilivyotojea kwa Jiwe nchi haitapata aibu kwa huyu kijana kushika usukani
Omba mungu amsaidie mgogo mwenzio then litokee kubwa zaidi na nyie wagogo mheshimike
 
Amezaliwa 1983
Ameanza Darasa la kwanza mwaka 1988 akiwa na miaka Mitano (5)
Amemaliza Darasa la saba mwaka 1995 akiwa na miaka 12.
Amesoma Darasa la kwanza mpaka la Saba kwa miaka 8.😨😨😨

Ameanza Secondary mwaka 1996 mpaka 2004 yaani amesoma Form one mpaka Form six kwa miaka 9😨😨😨

Darasa la kwanza mpaka form 16 amesoma kwa miaka 16.😨😨😨

Hii Elimu inawezekanaje kupatikana kwa miaka hii inayotajwa?

Miaka ya 1970-1990 Mwanafunzi anaanza Darasa la kwanza akiwa na miaka kuanzia 7 na kuendelea lakini mwamba alianza na miaka Mitano (5)

Nikisema WanaCcm wanapenda NAMBA lakini hawajui HESABU huwa sikosei.

Taifa linaangamia kwasababu tumekubali kufanywa Wajinga na Watu wachache

Elimu ya kuunga unga.
Kuna kachuo katamzawadia honorary PhD, na yeye tutaanza kumwita "DAKTARI". And that will be that.
 
While siwakubali ila kasoma international school. Canon Mwaka ni international so kupokea mtoto mdogo inawezekana. Cha kuuliza ni gap ya form four na form six ilitokana na nini?
Unaishi mapori ya wapi?
Ulaya hakuna ulazima ukimaliza sekondari ukimbilie high school
Kwanza wengine huwa wanatafuta kazi wanafanya, huko kazi kila sehemu na kuna kazi za watoto under 18 kama kwenye migahawa ya KFC na McDonalds
siku akiamua kurudi shule anarudi muda anaotaka, sio elimu yenu tia maji ya necta uunge ukale ugali na maharage Alevel.
 
Nimevurugwa mimi

Advanced diploma 2009-2012

Digrii 2006-2009

Hivi imekaaje kitaalamu

Mie mwenyewe hata sijaelewaa. Khaaah.
Kwanza mjiulize kasemea bongo au ulaya?
Kwahiyo mnadhani mpagilio wa elimu kule ni tia maji kama wa kwenu mnapelekeshwa
Mimi nimemaliza degree ya uhandisi UK, nikaanza kazi, kazini wakanipeleka kusomea project management, nikatoka na Advance Diploma, na hapo nina degree ya uhandisi, sioni tatizo, hii sio elimu ya necta, hili ni tatizo kwenu nyinyi kutokana na elimu yenu mbovu
 
Back
Top Bottom