akili mwili mzima
JF-Expert Member
- Nov 13, 2025
- 2,662
- 5,558
Pipa na mfuniko vyakutana
nani pipa na nani mfuniko kiongozi?Pipa na mfuniko vyakutana
Hapa naona kuna shida kubwa kuhusu mtiririko wa Elimu yake aisee. ILI LIMEKAA VIBAYA
Bora kindiki, huyu kijana likitokea la kutokea ndio awe rais sasa..kwa katiba hii ya kijinga..!Huyo ni makamu haramu wa Samia.
Uchaguzi wa kumpata rais na makamu rais wa Tanzania haukufanyika .
Kwa kifupi Ndejembi ni kama secretary wa Samia ambaye ni Mr YES kwa Samia.
Kule Kenya Gachagua anamwita Kindiki Mr YES SIR ndio sawa na huyu Ndejembi.
Labda Oxford ya Pemba...Bibi yake ana PhD ya Oxford kiongozi 😉😉
Bora kindiki, huyu kijana likitokea la kutokea ndio awe rais sasa..kwa katiba hii ya kijinga..!
Hayo ndio huitwa mafunzo mbalimbali.
Elimu mbalimbali ..
Angalia List ya kazi alizofanya utagundua ni kijana wa Wajomba gani .... SOGAZIZI
Secondary school kasoma Merton College? Iko wapi hii?
Rais: mpanga mafaili.
Naibu rais: customer care
Nimevurugwa mimi
Advanced diploma 2009-2012
Digrii 2006-2009
Hivi imekaaje kitaalamu
Na hapo kwenye College aliposomea advance nimeshindwa kuelewa kabisa pia hapo kwenye mwaka 1999 alafu ikaja 2002 ni kwamba alipatwa na ugonjwa wa degedege akasimama kusoma au???? Aiseeee hii CV hata nikiipeleka kupata kazi ya saidia fundi lazima awe na mashaka
Imagine huyu ni mtu ambae anaweza kuwa rais wa nchi endapo chochote kitampata aliyepo madarakani.Secondary school kasoma Merton College? Iko wapi hii?
Kipimo cha CV ni uchapaji kazi wake tu full stop
Mwanufunzi kuanza darasa la kwanza akiwa na miaka mitano ni jambo la kawaida. Anahitimu darasa la saba miaka 12- kawaida kabisa.Miaka ya 1970-1990 Mwanafunzi anaanza Darasa la kwanza akiwa na miaka kuanzia 7 na kuendelea lakini mwamba alianza na miaka Mitano (5)
Hana tofauti na kina Uncle T
Kawaida, alimaliza advance 2004, 2006 akaenda kusoma bachelor nje ya nchi. 2009 alivyomaliza, akarudi nchini akasoma advanced diploma kujiongezea CV kwenye upande uliotakaNimevurugwa mimi
Advanced diploma 2009-2012
Digrii 2006-2009
Hivi imekaaje kitaalamu