CV ya Makamu wa Rais. Vijana/Wasomi acheni kuchunguza chunguza mambo mpeni tu Ushirikiano.

Kwenye Elimu jamaa hamna kitu...na inaonekana vyuo viwili hapo ni online alisoma.
 
Dr Antony Diallo, tuliwahi kumualika take lecture sehemu fulani kutokana na udaktari wake, ilikuwa aibu.
 
Dr Antony Diallo, tuliwahi kumualika take lecture sehemu fulani kutokana na udaktari wake, ilikuwa aibu.
Tapeli yule alikua na bahati aliekua anagombea naye mwaka ule alikua Engineer wa kiwanda chake cha Sahara na alikua anatumia gari la kazini kwa kampeni alikua mgombea wa NCCR angekutana na wengine angepelekwa mahakamani na najua angevuliwa ubunge na majaji wa kweli wa miaka hiyo kina Lugakingila
 
Mikeka ya NECTA inasemaje?
 
 

Attachments

  • 1000059788.jpg
    17.9 KB · Views: 6
Ukitaka ufuatilie elimu za Wana ccm utachanganyikiwa, wanaweza kusifu tu viongozi wao ila hawana lolote, hata awe amesoma elimu sahihi ila utaona kichwani hakuna kitu kabisa....tuendelee kusoma jumbe za kwenye makundi sogozi tu
 
Cv yake ina ukakasi mwingi mno, kuanzia mwaka alioanza primary versus mwaka aliozaliwa, hapo primary school mda aliosoma au labda alikuwa anarudia darasa hapo secondary ndo hatari since 1996 mpaka 2004 almost eight years alikuwa anasoma tu form 1 mpk 6 ? Alikuwa anarudia vidato?. Ngoja niishie hapo, kiufupi kwenye upande wa education hajanyooka ile inavyotakiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…