Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly; uteuzi huwa haulazimishwi kwa mteuliwa. Kwanza mteuliwa huyo anatakaiwa kupewa taarifa kuwa kiongozi wa nchi ananuia kumteua katika jukumu fulani, je anaridhia? Akisha-ridhia ndipo mkuu anaweza ama kumteua au kutomteua ila haiingii akilini mtu kuteuliwa bila kujulishwa. Zamani sana kuna mtu alipewa taarifa kuwa Nyerere alikuwa ananuia kumteua kuwa Waziri mkuu, je ataridhia? Jamaa akaridhia na kufanya bonge la pati kusherehekea uteuzi kabla haujtangazwa. Nyerere akamtupia mbali.Rais mwenyewe kachemka kuteua watu kabla ya kuwasiliana nao.
Serikali inabumba na kugangaganga.
Ninaamini hapo walipo wanasema kama tungelijua. Japo kuna wengi wanajaribu kuwatetea kuwa ni haki yao ni kweli sawa, lakini haki ina mipaka yake; kama hawataki kazi mpya waliyo pangiwa na boss tafsiri yake hata hiyo ya awali hawastahili kuendelea nayoMimi hapo ndio nimewashangaa; bado wapo kwenye system halafu wanaikataa system!!. Kwakweli hawakushauriana vizuri na naamini yupo aliyeburuzwa na mwenzie.Yaani nadhani watajua hawajui
Unaniteua ukuu wa wilaya na kutangaza leo wakati wiki ya jana nimebadili uraia na ninapanga kuhama nchi.Exactly; uteuzi huwa haulazimishwi kwa mteuliwa. Kwanza mteuliwa huyo anatakaiwa kupewa taarifa kuwa kiongozi wa nchi ananuia kumteua katika jukumu fulani, je anaridhia? Akisha-ridhia ndipo mkuu anaweza ama kumteua au kutomteua ila haiingii akilini mtu kuteuliwa bila kujulishwa. Zamani sana kuna mtu alipewa taarifa kuwa Nyerere alikuwa ananuia kumteua kuwa Waziri mkuu, je ataridhia? Jamaa akaridhia na kufanya bonge la pati kusherehekea uteuzi kabla haujtangazwa. Nyerere akamtupia mbali.
Kwa kosa gani, watu wengi wanautaka huo u dc, wapewe wengine, hao waliokataa uteuzi labda wamejipima kwenye mizani na wamejiona hawatoshiYakamatwe kwanza na kuhojiwa
sema mshahara na marupurupu wala siyo taaluma. Hivi mshahara wa DC ungekuwa milioni 10 wangesita kwenda?Au ambitious za CWT leaders ni kupata uongozi wa kitaaluma sio kisiasa
Mkuu umenena vyema.Mkuu una haki ya kuheshimu chochote ikiwemo huo muungano maana ni haki yako. Lakini kero ambazo hazitatuliwi miaka dahari, ni utapeli kama utapeli mwingine.
Yaani kama chama changu ndo kilikutegemea kwenhe ujenzi wa hoja kwa hizi akili ni halali kukuweka kando.Faida za Muungano ni kubwa kuliko huo ujinga unaowaza kiongozi
Lakini kwa CCM kushindwa kutatua kero za Muungano ni aibu kubwa sana.Sahihi kabisa, Sisi Leo ni Ndg, lazima tuuheshimu na kuuthamini Muungano wetu
kwani lazima ukiteuliwa kukubali?Shortly,
Tumesikitisha sana na hawa vijana wenzetu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) walioamua kuidhalilisha taasisi nyeti ya Urais Tanzania huenda kwa kujua au kutokujua,
Nikweli, Tunafahamu Rais hufanya UTEUZI kwa mtu yeyote anayedhani anaouwezo wa kumsaidia katika kutekeleza majukumu yake ya siku kwa siku bila kumtaarifu.
Uteuzi ni ishara ya imani ya kiwango cha juu toka kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuja kwa mteuliwa ikiwa ni pamoja na Ukoo au familia yake.
Hebu fikiri hii, Nchi yenye watu takribani 62M Wewe unateuliwa kisha unamvimbia aliyekupatia hiyo heshima, hakika hili ni jambo baya huenda kuliko Ubaya wenyewe.
Hebu Vijana wa Tanzania bila kujali Itikadi zetu za Kisiasa & dini tujifunze kitu toka kwa aliyekuwa Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi wa Chama cha Mapinduzi ( CCM ) Mhe Shaka Hamdu Shaka.
Pamoja na kwamba Mhe Shaka Hamdu Shaka ambae Sasa ni mkuu wa Wilaya ya Kilosa alikuwa ni boss wa ma-RCs, ma-DCs, ma-RAS, Mawaziri wote akihudumu kama kiongozi wa ngazi ya juu wa Chama,
Leo sote tumashahidi baada tu ya kuondoshwa kwenye nafasi hiyo na kuteuliwa kuwa DC Kama ilivyo kwa viongozi hao waandamizi wa CWT Jamaa hakuhoji, hakususa Wala kukunja sura bali alikuwa ndio DC wakwanza kula kiapo miongoni mwa ma -DC wote walioteuliwa katika batch ile.
Tunahitaji kuwa na Taifa lenye vijana wenye nidhamu ya Uongozi na viongozi aina ya akina Shaka Hamdu hasa kwa kulinda Mila na Desturi zetu kama Watanzania kwani ni mbaya kutumwa na mkubwa hata kama hana cheo ukakataa.
View attachment 2502540
Inategemea. Kuna teuzi kwa ajili ya kukuziba mdomo, kuna teuzi kwa ajili ya kukuharibia mipango yako. Hivi unajua sirro aligomea kwenda zimbabwe na imebidi wakae nae chini kwa muda kumbembeleza ili rais asiumbuke. Sababu alijua hakukuwa na nia njema.Shortly,
Tumesikitisha sana na hawa vijana wenzetu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) walioamua kuidhalilisha taasisi nyeti ya Urais Tanzania huenda kwa kujua au kutokujua,
Nikweli, Tunafahamu Rais hufanya UTEUZI kwa mtu yeyote anayedhani anaouwezo wa kumsaidia katika kutekeleza majukumu yake ya siku kwa siku bila kumtaarifu.
Uteuzi ni ishara ya imani ya kiwango cha juu toka kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuja kwa mteuliwa ikiwa ni pamoja na Ukoo au familia yake.
Hebu fikiri hii, Nchi yenye watu takribani 62M Wewe unateuliwa kisha unamvimbia aliyekupatia hiyo heshima, hakika hili ni jambo baya huenda kuliko Ubaya wenyewe.
Hebu Vijana wa Tanzania bila kujali Itikadi zetu za Kisiasa & dini tujifunze kitu toka kwa aliyekuwa Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi wa Chama cha Mapinduzi ( CCM ) Mhe Shaka Hamdu Shaka.
Pamoja na kwamba Mhe Shaka Hamdu Shaka ambae Sasa ni mkuu wa Wilaya ya Kilosa alikuwa ni boss wa ma-RCs, ma-DCs, ma-RAS, Mawaziri wote akihudumu kama kiongozi wa ngazi ya juu wa Chama,
Leo sote tumashahidi baada tu ya kuondoshwa kwenye nafasi hiyo na kuteuliwa kuwa DC Kama ilivyo kwa viongozi hao waandamizi wa CWT Jamaa hakuhoji, hakususa Wala kukunja sura bali alikuwa ndio DC wakwanza kula kiapo miongoni mwa ma -DC wote walioteuliwa katika batch ile.
Tunahitaji kuwa na Taifa lenye vijana wenye nidhamu ya Uongozi na viongozi aina ya akina Shaka Hamdu hasa kwa kulinda Mila na Desturi zetu kama Watanzania kwani ni mbaya kutumwa na mkubwa hata kama hana cheo ukakataa.
View attachment 2502540
Ni kweliUnajua Rais ni Taasisi?
Press ipi sijaipataNi kweli
Na ndo washaitisha Press Co huko
Mh Jenista kashasemaPress ipi sijaipata
Yes, hizo TAARIFA ninazo,Mh Jenista kashasema
Taratibu za utumishi zitaangaliwa na hatua stahiki kufuata
Ni kweli Rais ni TaasisiYes, hizo TAARIFA ninazo,