CWT mnaomvimbia kichwa Rais jifunzeni unyenyekevu wa Shaka Hamdu Shaka mtafika mbali vyeo ni dhamana ya muda Tu

CWT mnaomvimbia kichwa Rais jifunzeni unyenyekevu wa Shaka Hamdu Shaka mtafika mbali vyeo ni dhamana ya muda Tu

Rais mwenyewe kachemka kuteua watu kabla ya kuwasiliana nao.

Serikali inabumba na kugangaganga.
Exactly; uteuzi huwa haulazimishwi kwa mteuliwa. Kwanza mteuliwa huyo anatakaiwa kupewa taarifa kuwa kiongozi wa nchi ananuia kumteua katika jukumu fulani, je anaridhia? Akisha-ridhia ndipo mkuu anaweza ama kumteua au kutomteua ila haiingii akilini mtu kuteuliwa bila kujulishwa. Zamani sana kuna mtu alipewa taarifa kuwa Nyerere alikuwa ananuia kumteua kuwa Waziri mkuu, je ataridhia? Jamaa akaridhia na kufanya bonge la pati kusherehekea uteuzi kabla haujtangazwa. Nyerere akamtupia mbali.
 
Viongozi wa cWT wamevimbiwa na fedha za posho,mishahara,mikataba na hiyo ndio sehemu ya kuchuma na kuchota fedha bila kuulizwa. Wapo kimaslahi zaidi na mwisho Wanaonyesha kiburi kwa kugomea kazi ya uteuzi wakiona hakuna maslahi kwao.

Walimu wanalalamika juu ya wizi na makato makubwa yasiyolingana na huduma za hiko Chama. Hiki Chama kimekuwa mzigo na mnyonyaji wa Walimu na serikali imekaa kimya kwa kuwa hao walafi hawasemi neno. Kuna msemo unaosema ukicheza na mbwa ipo siku atakufuata msikitini.

Hao walafi wachunguzwe!
 
Mimi hapo ndio nimewashangaa; bado wapo kwenye system halafu wanaikataa system!!. Kwakweli hawakushauriana vizuri na naamini yupo aliyeburuzwa na mwenzie.Yaani nadhani watajua hawajui
Ninaamini hapo walipo wanasema kama tungelijua. Japo kuna wengi wanajaribu kuwatetea kuwa ni haki yao ni kweli sawa, lakini haki ina mipaka yake; kama hawataki kazi mpya waliyo pangiwa na boss tafsiri yake hata hiyo ya awali hawastahili kuendelea nayo
 
Exactly; uteuzi huwa haulazimishwi kwa mteuliwa. Kwanza mteuliwa huyo anatakaiwa kupewa taarifa kuwa kiongozi wa nchi ananuia kumteua katika jukumu fulani, je anaridhia? Akisha-ridhia ndipo mkuu anaweza ama kumteua au kutomteua ila haiingii akilini mtu kuteuliwa bila kujulishwa. Zamani sana kuna mtu alipewa taarifa kuwa Nyerere alikuwa ananuia kumteua kuwa Waziri mkuu, je ataridhia? Jamaa akaridhia na kufanya bonge la pati kusherehekea uteuzi kabla haujtangazwa. Nyerere akamtupia mbali.
Unaniteua ukuu wa wilaya na kutangaza leo wakati wiki ya jana nimebadili uraia na ninapanga kuhama nchi.

Hujawasiliana nami kuhakiki uteuzi.

Nani wa kulaumiwa hapo?
 
Sasa hata kama kazi ya kuteua inatushinda we might be on the wrong Job...
 
Rais alitegemea kufanya saplaiiiiis mwishowe kafanyiwa yeye saplaisiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu una haki ya kuheshimu chochote ikiwemo huo muungano maana ni haki yako. Lakini kero ambazo hazitatuliwi miaka dahari, ni utapeli kama utapeli mwingine.
Mkuu umenena vyema.

Lakini umesahau neno moja hapo. Kero kuu ya Muungano ni CCM. Wakishaondoka madarakani kikawekwa chama kinachozingatia maslahi ya mchi wataboresha Muungano kwa faida za wananchi wa pande zote mbili.

Tusiulaani kwa makosa yanayotokana na wizi wa kura
 
Faida za Muungano ni kubwa kuliko huo ujinga unaowaza kiongozi
Yaani kama chama changu ndo kilikutegemea kwenhe ujenzi wa hoja kwa hizi akili ni halali kukuweka kando.

Badala ya kuorodhesha faida za Muungano, unakuja na ngonjera bila chorus.
 
Sahihi kabisa, Sisi Leo ni Ndg, lazima tuuheshimu na kuuthamini Muungano wetu
Lakini kwa CCM kushindwa kutatua kero za Muungano ni aibu kubwa sana.

Wananchi wanaolalamikia Muungano wana hoja lukuki zenye mashiko na zilipaswa kufanyiwa kazi.
Lakini since CCM ilipofanya UENEZI wa kusema wapinzani na wenye fikra mbadala siyo wazalendo na kuanza kuwashughilikia wazi wazi ni kaburi la Muungano.

Kama chama kinashindwa kutatua kero za muungano kwa nini kisipokee maoni ya wenye Muungano ili kuunusuru?

Badala yake majibu ya kibabe na yasiyo na utunduizi yamekuwa ndo nguzo ya Muungano

Aibu
 
Shortly,

Tumesikitisha sana na hawa vijana wenzetu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) walioamua kuidhalilisha taasisi nyeti ya Urais Tanzania huenda kwa kujua au kutokujua,

Nikweli, Tunafahamu Rais hufanya UTEUZI kwa mtu yeyote anayedhani anaouwezo wa kumsaidia katika kutekeleza majukumu yake ya siku kwa siku bila kumtaarifu.

Uteuzi ni ishara ya imani ya kiwango cha juu toka kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuja kwa mteuliwa ikiwa ni pamoja na Ukoo au familia yake.

Hebu fikiri hii, Nchi yenye watu takribani 62M Wewe unateuliwa kisha unamvimbia aliyekupatia hiyo heshima, hakika hili ni jambo baya huenda kuliko Ubaya wenyewe.

Hebu Vijana wa Tanzania bila kujali Itikadi zetu za Kisiasa & dini tujifunze kitu toka kwa aliyekuwa Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi wa Chama cha Mapinduzi ( CCM ) Mhe Shaka Hamdu Shaka.

Pamoja na kwamba Mhe Shaka Hamdu Shaka ambae Sasa ni mkuu wa Wilaya ya Kilosa alikuwa ni boss wa ma-RCs, ma-DCs, ma-RAS, Mawaziri wote akihudumu kama kiongozi wa ngazi ya juu wa Chama,

Leo sote tumashahidi baada tu ya kuondoshwa kwenye nafasi hiyo na kuteuliwa kuwa DC Kama ilivyo kwa viongozi hao waandamizi wa CWT Jamaa hakuhoji, hakususa Wala kukunja sura bali alikuwa ndio DC wakwanza kula kiapo miongoni mwa ma -DC wote walioteuliwa katika batch ile.

Tunahitaji kuwa na Taifa lenye vijana wenye nidhamu ya Uongozi na viongozi aina ya akina Shaka Hamdu hasa kwa kulinda Mila na Desturi zetu kama Watanzania kwani ni mbaya kutumwa na mkubwa hata kama hana cheo ukakataa.

View attachment 2502540
kwani lazima ukiteuliwa kukubali?
 
Inategemea. Kuna teuzi kwa ajili ya kukuziba mdomo, kuna teuzi kwa ajili ya kukuharibia mipango yako. Hivi unajua sirro aligomea kwenda zimbabwe na imebidi wakae nae chini kwa muda kumbembeleza ili rais asiumbuke. Sababu alijua hakukuwa na nia njema.

Akigomewa hivi atateua kwa busara na akili
 
Back
Top Bottom