CWT wameishiwa ubunifu, Mei Mosi kuvaa sare inayoendana na ya TLP

CWT wameishiwa ubunifu, Mei Mosi kuvaa sare inayoendana na ya TLP

Ila uko USA, ulaya mwalimu anapewa heshima sana na wanlipwa vizuri sana,huku kwetu dah mnataabika sana CWT yenu haiko kwa ajili ya maslahi yenu iko kwa ajili ya maslahi ya ccm,has a kipindi cha kusimamia uchaguzi.

Mnakujaga kufaidika baada ya kustaafu mnapigwa hela ndefu sana ya mafao,na bado mnakuja kuwa mtaji Wa wale jamaa Wa hela tuma kwenye no hii(nimechomekea).

Ujerumani mwalimu ndo analipwa hela ndefu kuliko hata mbunge nyie huku endeleeni kuwa discplined.
Na tatizo mmezidi uchama sanaaa,,, na mwalimu ndo mfanyakazi anayekula bata kuliko nyie wengne in terms of working hours
 
Nakubaliana nawewe kwa yote, LAKINI ishu yangu ni kuwa kwanini Div1&2 na pengine na Div 3 hawaendi ualimu? Why?
Polisi na jeshi inafahamika rasmi kuwa jeshini ni nguvu , kule hawahitaji akili za darasani. Umewahi sikia msema "kama kawaida ya wanajeshi, MITULINGA MINGI AKILI KIDOGO" (najua sasa imebadilika kidogo..... kuna MDs wako jeshini etc etc...

Nimesingle out walimu kwa sabau ni sector nyeti kwa ustawi wa elimu Tanzania na duniani. Kwetu wanaenda waliofeli. Kibaya wakishaenda kule wanajiachia na kuwa wa hovyo! Failure wa kozi ya uhasibu anajiweka smart na mbwembwe nyingi mtaani as if hakupata div 0 form 4! Walimu wanashindwaje kujiweka vema? (si wote).
We jamaa unaishi Nchi gani, mbona walimu kibao wenye div 1 na 2 [emoji28][emoji28]
 
I have reasons
1. Walio wengi walimu ni "failures" academically, sijawahi kumuona mtu wa Div 1 amemaliza form 4/6 kaenda ualimu, hivyo kwao kuwa pale ni favour, hawawezi kupigania haki zao maana wanajua hata kuwa kwenye ualimu ni favour
2. Kwa mtu kama huyo kupigana haki zake ni ngumu maana anajua mapungufu yake.
3. Mishahara yao ni midogo, hivyo mtu hana muda wa kutetea haki zao , anaona afdhali atumie muda kujiongezea kipato
4. Wengi wako vijijin ambako wanachofanya ni ulevi na "kuoa"........ wamekuwa damped kuozea huko.......


5 Nitaongezea baadaye
Tatizo wabongo mnaushi kwa kukariri [emoji28][emoji28]
 
Nakubaliana nawewe kwa yote, LAKINI ishu yangu ni kuwa kwanini Div1&2 na pengine na Div 3 hawaendi ualimu? Why?
Polisi na jeshi inafahamika rasmi kuwa jeshini ni nguvu , kule hawahitaji akili za darasani. Umewahi sikia msema "kama kawaida ya wanajeshi, MITULINGA MINGI AKILI KIDOGO" (najua sasa imebadilika kidogo..... kuna MDs wako jeshini etc etc...

Nimesingle out walimu kwa sabau ni sector nyeti kwa ustawi wa elimu Tanzania na duniani. Kwetu wanaenda waliofeli. Kibaya wakishaenda kule wanajiachia na kuwa wa hovyo! Failure wa kozi ya uhasibu anajiweka smart na mbwembwe nyingi mtaani as if hakupata div 0 form 4! Walimu wanashindwaje kujiweka vema? (si wote).
Dah! Wewe jamaa ni mbishi!! Sasa hao wanafunzi waliopata Div. 1 - 3 mfano kwenye matokeo ya kidato cha nne si wana sifa ya kwenda kidato cha tano? Sasa mwanafunzi anawezaje kuacha kwenda kidato cha tano na kwenda ualimu? Ndiyo maana unakuta walimu wengi wa grade A walipata division four au three za mwisho! Na hawa hufundisha shule za msingi na awali! Na kwa sasa wengi wao wamejiendeleza kielimu na kuwa na diploma, digrii, postgraduate na hata masters katika fani mbalimbali.

Ukija kwa wale waliomaliza kidato cha sita, nitakukatalia mpaka asubuhi! Hakuna chuo kikuu nchini kinacho chukua wanafunzi wenye ufaulu wa division 0 au four, kwenye matokeo ya ACSEE ili kusomea ualimu, au kozi yoyote ile! Vyuo vingi huchukua wanafunzi wenye ufaulu wa kuanzia point tano! Yaani D moja (point 2) na C moja (point 3)! Na hivyo jumla ni points 5! Na hawa wote ni lazima wapate division 1 - 3!! Na huwezi kwenda A level pasipo kuwa na Credit 3!!

Sasa hao walimu waliofeli wanasoma vyuo gani! Au wanafanya kazi kwenye shule zipi? Kafanye utafiti wako leo kwenye shule zote nchini halafu uje uniambie kama yupo mwalimu mwenye diploma au digrii, halafu ana division four au zero kwenye matokeo yake ya kidato cha nne au cha sita!

Siyo vizuri kutumia udhaifu wa serikali kutowajali walimu, na pia baadhi ya walimu walio tokea familia maskini kuamua kusomea hii fani hata kama hawakuipenda! Ili tu kupata ajira ya haraka, na hivyo kuzisaidia familia zao! Kuwanyanyapaa!

Walimu walio wengi katika nchi hii wana elimu ya kutosha sana! Sema tu wengi hawana morali ya kazi kutokana na ujinga unaofanywa na serikali, mfano kuwalipa mishahara midogo, kutowapandisha madaraja yao kwa wakati, kuruhusu hiyo CWT kuwakata 2% kika mwezi, na pasipo na sababu yoyote ile ya msingi, nk.
 
Nchi ambazo waalimu wake hawalalamiki kuhusu mishahara hazizidi 10,, na hao waliweka elimu kipaumbele ila wengine wote hata huyo USA unaemsemea mwalimu analipwa kidogo comparing na unavyofikiri
Sio kweli walimu USA are highly paid !!?
 
wapi nimesema hivyo?
Sasa hao walimu unao waongelea kwamba ni failures ni wa kiwango gani cha elimu? Kuwa specific basi. Kama ni hao wa grade A, kwa sasa wanahesabika! Maana wengi wamejiendeleza!

Isitoshe, bado hawakwenda vyuoni na division 0 (ambayo ndiyo kiwango halisi cha huo ufailure wenyewe), wameingia kwa division four, three, nk! Ambayo kwenye viwango vya ufaulu, ni Pass! Na siyo 'fail'

My problem is that, why are you calling them failures? While it is not true!!!
 
Huyu kiumbe ni mbishi sijawahi kuona! Na hataki kuelewa. Nimejitahidi kumuelimisha, naona hata haelewi! Kiufupi kazi ya ualimu ni ngumu sana ukipata aina hii ya wanafunzi wajuaji (much know)
Kwa u-much know wake ndo ulimfanya apate laana ya walimu ndo hayo matokeo yake dharau kiburi na majivuno
 
Back
Top Bottom