Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu tutende haki tuwe na balancing story hata kwenye hili la Cyprian Musiba aliyetaja orodha ya watu kumi hatari kwa usalama wa Tanzania
Kwenye orodha yake kawataja kwa majina na karibia wote ni viongozi wa UPINZANI na wachache ni wanaharakati na watoa maoni huyu...
Naomba tulitendee haki jukwaa nasi tuwe na orodha yetu ila tusitaje majina kuepuka uzi kufutwa... Tutaje mtu mwenye viashiria vya hatari... Nitaanza wengine mtamalizia
1. Yeyote anayepuuza maoni ya wengine.. Kwa uchache wao ama wingi wao..
2. Yeyote asiyekubali tofauti za kimtazamo katika jamii moja...
3. Yeyote asiyezingatia utawala wa sheria
4. Yeyote asiyezingatia haki za binadamu....
5..... Ongezea
Kwa Clip hii nina imani kabisa sio ya kupuuziaa. Maana nimeanza kuona kuna watu wanaweka uchungu na hasira mioyoni mwa watu ili maandamano ya fanyike.Unapata wapi nguvu ya kuutangazia umma wa Watanzania kwamba hawa ndugu zetu ni hatari??? Mamlaka unayatoa wapi Musiba.....??? Maana ya mtu hatari katika usalama wa taifa ni wewe wa kutoa hiyo hukumu na maamuzi ya kuwaita wenzetu Hatari???
Naombeni msaada ni nani huyu?? Anapata wapi mamlaka na nani amemtuma????
Samahani JF niliiacha hii habari hewani bila kuiimarisha kwasababu huyu jamaa alinichefua sana, nasema ukweli nilifika jatua ya kufikiria kuukana utaifa wangu wa Tanzania...who is this mo******ker???? Polisi wanamuacha huyu????? Vyombo vya habari mnaripoti mtu kama huyu really.....na mnaona ni taarifa ya kawaida tu....???
Hii inafaa kuwa namba 5
Hii mada wewe huwezi kuchangia .yani unaombea nchi yetu ipewe misaada badala ya kuombea tuweze kujitegemea?.Yeyote anayeombea nchi inyimwe misaada!
HahahahahahaYeyote aliyeidhinisha kikosi kazi cha tanesco kiteke watu
Pascal Mayalla alishasema uandishi wa bahasha ndio unao haribu fani. Anachokifanya Musiba ni kutumia hizo fedha anazopewa kufanya hayo na kuziweka kwenye bahasha kuwagawia watakao kuja.nimeangalia youtube nimecheka sana,na waandishi wa habari muwe na akiri mnaitwa na kila mtu mnakwenda tu.shame on you.
Mkuu acha ujinga hakuna anayependa hicho ila bado hatujafikia hukoYaani unafurahia nchi kuendeshwa kwa misaada badala ya kusisitiza sisi wenyewe kuongeza uzalishaji?. Kwa akili hizi watanzania kujikomboa bado sana. Yaani unafurahia wanaume wenzako huko ulaya wafanye kazi halafu wawaletee hela mle.Halafu kesho na kesho kutwa mkiwa kwenye mgogoro hao watoa msaada wakiingilia mnasema WATUACHE NA MATATIZO YETU, MARA MATATIZO YA AFRIKA YATAMALIZWA NA WAAFRIKA, wajinga kweli haya malizeni matatizo Congo na Southern Sudan.
ni kiongoz wa juu uvccm yaani ni kama jerry murroKwani huyo Musiba ana cheo gani nchini?
Hebu tutende haki tuwe na balancing story hata kwenye hili la Cyprian Musiba aliyetaja orodha ya watu kumi hatari kwa usalama wa Tanzania
Kwenye orodha yake kawataja kwa majina na karibia wote ni viongozi wa UPINZANI na wachache ni wanaharakati na watoa maoni huyu...
Naomba tulitendee haki jukwaa nasi tuwe na orodha yetu ila tusitaje majina kuepuka uzi kufutwa... Tutaje mtu mwenye viashiria vya hatari... Nitaanza wengine mtamalizia
1. Yeyote anayepuuza maoni ya wengine.. Kwa uchache wao ama wingi wao..
2. Yeyote asiyekubali tofauti za kimtazamo katika jamii moja...
3. Yeyote asiyezingatia utawala wa sheria
4. Yeyote asiyezingatia haki za binadamu....
5..... Ongezea
Waliokuleta duniani ndiyo janga kabisa bora hata wangetumia nyota ya kijani.1. Mbowe
2.Lema
Hawa ndio janga