Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msiba yeye ana njaa alienda kwa Maliyamungu idd Amin Bashite kusaka pesa ya kula ndipo Maliyamungu Bashite akamwambia kuwa akariri huo Uzushi atangaze kwenye vyombo vya Habari watamlipa, kaweka njaa mbele kumfurahisha Maliyamungu Bashite pasipo kutafakari, sasa itamgharimu sana kwani FBI watamwandama Hatari.Umesomea mambo haya au unajisemea tu kwa hisia kama huyo musiba? Narudia tena, raia hawezi kuitisha press akiituhumu nchi nyingine katika masuala makubwa kama hayo. Yeye hana jukumu hilo. Angepeleka ushahidi wake kwa mamlaka zinazohusika. Je Marekani na Ujerumani kama wakitaka ushahidi atakuwa nao? Ni mgogoro mkubwa huo ikiwa serikali haitamkamata kuonyesha kuwa alichokifanya ni against na national law na kwamba serikali haikubaliani na maoni hayo. Mamlaka ya kutangaza watu hatari kwa usalama wa nchi musiba ameyatoa wapi? Tusijitoe akili kwenye mambo ya msingi.
Yeyote anayeunga mkono Chama Cha MauajiYeyote anayeombea nchi inyimwe misaada!
Tunajadili hatuongelei historia! Je ni sahihi tuishi kwa misaada? Kwani tumepungukiwa na nini? Upstairs!? [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Mlilia sana hapa jukwaani nchi ipokatiwa mgao wa wamarekani leo mnajitoa ufahamu kua nchi haihitaji msaada!
Yaani waafrika hakuna wanachofikiria zaidi ya msaada tuuu. Halafu mkiombwa mlipe fadhila za msaada mnadai munadhalilishwa mukila vya watu na vyenu lazima viliweYeyote anayeombea nchi inyimwe misaada!
. [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji116] [emoji116] [emoji116]Yeyote anayeunga mkono Chama Cha Mauaji
Katumwa na Maliyamungu idd Amin Bashite akishirikiana na Le mutuz na Shekhe wa mkoa wa Dsm ambaye anamchukia mange kimambi kuliko Palestine inavyoichukia marekani kwa kubariki unyanyasaji dhidi ya utu wao toka kwa waloweziHuyu ni kibaraka wa wakubwa na ndio waliomtuma.
Hivi kwanini awamu hii wajinga wameongezeka sana?lisemwalo lipo
Wewe humwogopi mwiguru mchemba, alikufa Dr mvungi, shauri yako mi nakutahadharisha.Pogba, Bashite na Mwigulu
ndo mwenyewe uyo..ni liccm alaf nilishabiki lakugalala la gongowazi..,,lilitemwa kwenye kura za maoni uko bunda likaanza kulia lia.Huyo MSIBA Kafanyeje?Naomba pia Kuuliza.Ndio Yule aliyekuaga MAGIC FM Michezo?Maana kuna Mijitu Inajitokeza Kipindi hiki kwa Kasi ya Hatari.Halafu Nyuma yana Makandokando Chungu Nzima
Na kama hawa ndiyo think tank ya ccm basi nchi inaekea kuzimu.Hili Jamaa Jinga Kweli kweli..Sijaona Tuhuma za Maana Hapo..Na Ajue Adui namba Moja Kwa Taifa hili ni CCM..Mleta Mada Umeuliza Swali..Jibu lake ni rahisi..Katumwa na CCM..na ndiyo Maana Anatuhumu Viongozi wa Vyama lakini CCM wote kwa Mtazamo wake ni Malaika..
Sijui kwa nini wasio na marinda wanapenda sana kunyoa ndevu zote