Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

Instagram ndio kijiji gani?kwa hiyo hicho kijiji cha instagram ndiko ndege imemwagwa hivyo vipeperushi?, na hiyo/hizo ndege zinazotumika hazionekani?
Alafu hujajibu hiyo ndege iliruka toka wapi.
 
Mkuu si tu anaweza hana wazo lolote ni mwendelezo wa kutafuta fursa wameishagundua weakness za kiongozi;anapenda cheap popularity na anawachukia wanaomkosoa.Hivi unafikiri ile ni akili ya kawaida?Kwenye psychology tuna kitu kinaitwa "telling face" uso wake unaonesha anatafuta fursa,kila mtafuta fursa anajiona jasiri anapotaja majina ya wakosoaji wakubwa ktk utawala huu.Ulimbukeni na ushamba kwa watawala wetu unaliangamiza taifa (Zitto,2017).Aftalaw mtu mwenyew anaitwa msiba:::
Mkuu ni ajabu tuna mammbo lukuki ya kiuchumi, kielimu nk yanayohitaji kuongelewa ili nchi isonge mbele hayaongelewi. Nahisi kuna mahali kuna tatizo. Kuna mtu alisema,inawezekana Nyerere bado anatuona kiroho na anafanya yake kwa vile tumeanza kugawanyika ovyoovyo kupitia mawazo ya watu kama hawa! So sad!
 
Nimelazimika kuangalia hii video.

Kwanza nimecheka sana. Siwezi kumbishia Bwana Msiba maana anaweza kua na sababu zake hata kama ni za kipumbavu ila bado anaziamini kua ni sababu.

Nilichogundua elimu ndogo na uelewa mdogo bado ni changamoto katika jamii yetu, kama huyu alikua mtangazaji na mwandishi wa ha ari basi hii nchi ina matatizo makubwa.

Kwanza Musiba anaonekana hajui au hana ufaham kabisa tofauti kati ya FBI na CIA. Anaituhumu FBI lakini kimantini ni CIA kama kweli anachokisema kiko hivyo, FBI haifanyi kazi za ujasusi na haivuki mipaka ya Marekani, hawa ni polisi wa Marekani na sio taasisi ya kijajusi nje ya Marekani.

Pili, Musiba hata maneno ya kawaida tu yanamshida kuyasarufisha, Uasi yeye anasema ni Uhasi.

Little learning is very hazardous. Stupidity is still common among Tanzanias.
Ni kweli kabisa maana mpaka kusema chama za Germany CDU akaona tabu kuelewa maana ya U ikabidi abadili CDP akajuwa P lazima itakuwa party lakini U mhh. ni vitu vidogo lakini inakuwa idea ni mtu wa aina gani si angejiandaa tu kusoma sehemu chama cha CDU kwa urefu ni nini. ndio ujue katumwa sasa hakukariri vizuri ni kama mtihani hujaelewa ila umekariri tu sasa ukisahau neno moja tu umepoteza maana.
 
Musiba amesema hisia zake ambazo zina ukweli ndani yake.

Kinachonishangaza ni kuwa:
[emoji830]Serikali ikitumia vyombo vya dola, kama polisi, kuwakamata wahalifu wa upinzani, mnawaita DIKTETA UCHWARA.

[emoji830]Sasa mnaitaka serikali hiyo hiyo ("MADIKTETA") itumie polisi kumkamata Musiba kwa sababu anawaumbua UPINZANI.

Hivi huwa mnajisikiliza mnapozungumza huu ujinga?
Umesomea mambo haya au unajisemea tu kwa hisia kama huyo musiba? Narudia tena, raia hawezi kuitisha press akiituhumu nchi nyingine katika masuala makubwa kama hayo. Yeye hana jukumu hilo. Angepeleka ushahidi wake kwa mamlaka zinazohusika. Je Marekani na Ujerumani kama wakitaka ushahidi atakuwa nao? Ni mgogoro mkubwa huo ikiwa serikali haitamkamata kuonyesha kuwa alichokifanya ni against na national law na kwamba serikali haikubaliani na maoni hayo. Mamlaka ya kutangaza watu hatari kwa usalama wa nchi musiba ameyatoa wapi? Tusijitoe akili kwenye mambo ya msingi.
 
It might be he is trying hard to press the key issue of the 26 April this 2018 but he is not part of it.....my very question is that, is this Musiba a real Tanzanian??????
 
Mjinga Sana. Alichofanya amezidi kuipaisha tarehe 26/04/2018. Mange Kimambi is linked to CIA and FBI! That's GOOD NEWS! Change, Yes we Can. Mmeanza kuweweseka? This is for Real.
 
Usihofu, Musiba anatafuta ajira ya ukuu Wa Wilaya ili nafasi ikitokea Rais asimsahau kwenye uteuzi wake.

Akishaupata atatulia tu, Kwa sasa mwache aendelee kuusaka ukuu Wa Wilaya kwa kujipendekeza na kuwazushia watu uongo na kuwachafulia watu sofa zao.

Usije shangaa SIKU akiamua kumtaja hata Mungu kuwa naye ni hatari kwa maisha ya Rais!!

Kwa mfano anaposema CDM imepeleka vijana 500 nje kujifunza namna ya kuisambaratisha serikali yeye alikuwa wapi hadi akawaona na bado hakutoa taarifa ili hao vijana wakamatwe kabla hawajafika popote?

Hao vijana walikodiwa ndege moja au waliondoka kwa magari?

Kwahiyo anataka kusema tangu uanze kuratibiwa mpango huo Wa kuwapeleka hao vijana, wakatafutiwa paspoti ,Viza, wakasafirishwa , bila Serikali wala usalama Wa Taifa kujua !! Kwa lojiki hii anamaanisha Serikali ni dhaifu kiasi hiki?Yaani mambo hayo yote yamefanyika bila Serikali kujua ila ni yeye pekee ndo mwenye Akili nyingi kuliko serikali aliyegundua mpango huo!!!!?

USHAURI, Ni vizuri atafute Namba nzuri ya kujikomba kwa Rais kuliko kuleta hoja za ukichaa kama hizi, Mfano hoja ya CDM amejikuta akiidharirisha Serikali badala ya kuisifia!! Maana ni sawa na kusema Usalama Wa Taifa umelala na haufanyi Kazi Yake vizuri kwanini kushindwa kwao kuwang'amua hao vijana 500 waliosafirishwa na CDM hadi yeye akawagundua badala ya usalama Wa Taifa anataka kusema yeye ndo bora zaidi kuliko usalama Wa Taifa?

apuuzwe tu kama tunavyowapuuzaga wapuuzi wengine.
Msiba ni Bonge la mshamba fulani na tayari watanzania wenye Akili Timamu walishampuuza ktambo ni wananchi wachache wenye Akili ndogo wanaweza kumwamini na waumini wake na Boss wao Maliyamungu idd Amin Bashite Safari hii watadunda kwenye kiki yao ya kishamba.
 
Ni kweli kabisa maana mpaka kusema chama za Germany CDU akaona tabu kuelewa maana ya U ikabidi abadili CDP akajuwa P lazima itakuwa party lakini U mhh. ni vitu vidogo lakini inakuwa idea ni mtu wa aina gani si angejiandaa tu kusoma sehemu chama cha CDU kwa urefu ni nini. ndio ujue katumwa sasa hakukariri vizuri ni kama mtihani hujaelewa ila umekariri tu sasa ukisahau neno moja tu umepoteza maana.
But why public presentation???
 
Unapata wapi nguvu ya kuutangazia umma wa Watanzania kwamba hawa ndugu zetu ni hatari??? Mamlaka unayatoa wapi Musiba.....??? Maana ya mtu hatari katika usalama wa taifa ni wewe wa kutoa hiyo hukumu na maamuzi ya kuwaita wenzetu Hatari???

Naombeni msaada ni nani huyu?? Anapata wapi mamlaka na nani amemtuma????


Samahani JF niliiacha hii habari hewani bila kuiimarisha kwasababu huyu jamaa alinichefua sana, nasema ukweli nilifika jatua ya kufikiria kuukana utaifa wangu wa Tanzania...who is this mo******ker???? Polisi wanamuacha huyu????? Vyombo vya habari mnaripoti mtu kama huyu really.....na mnaona ni taarifa ya kawaida tu....???
Mwacheni huyo jina tu linasadifu kuwa ni waukoo wa israel mtoa roho..! Msiba matanga yakiisha tutasahau tuuh.
 
Hivi waandishi habari nayo majinga ukweli.Unaanzaje kusikiliza ujinga wa hili jike dume??Nimekerwa linatumbua mimacho bila aibu kutaja majina ya wanaume wenzake!!!!Hili linaweza likawa dume jike hatari kuliko mtu yeyote.
Siyo Wote Mkuu..Tungepata Waandishi Kama 10 Mfano wa Pascal Mayalla ,Chaz Hillary.. nk Watanzania Walio wengi wange-Elimika sana..Hili Musiba hata huko kwenye Habari halikufanikiwa sababu ya upeo mdogo..Siasa ndiyo atapotea kabisa..
 
is your brain wa
Musiba amesema hisia zake ambazo zina ukweli ndani yake.

Kinachonishangaza ni kuwa:
[emoji830]Serikali ikitumia vyombo vya dola, kama polisi, kuwakamata wahalifu wa upinzani, mnawaita DIKTETA UCHWARA.

[emoji830]Sasa mnaitaka serikali hiyo hiyo ("MADIKTETA") itumie polisi kumkamata Musiba kwa sababu anawaumbua UPINZANI.

Hivi huwa mnajisikiliza mnapozungumza huu ujinga?
washed already...??
 
Back
Top Bottom