Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anahitaji kurudia darasa la pili kusoma inamsumbua no wonder anaongea upupu mbuzi kabisaaaTaahira mmoja hivi.
Analipenda Taifa lake eti!!!!hv kwa akili yako kulipenda Taifa lako ni kueneza habari za kichochezi km hizi za kuwavisha ngozi za simba wenzio ili wapigwe mishale?Hao wote aliowataja kasoro Mange na Cha hali kuna mgeni ktk nchi hii??awamu zote c wamekuwapo? Umesahau ktk ziara ya mkuu wa nchi Kyle kigoma alimuinua Zito na kumpa sifa kedekede kwa kuwa alimuunga mkono ila kwa kuwa ss hv anamkosoa amekuwa hatari au vp? Amaa kweli ukistaajabu ya Musa unaona ya Musiba.Mtoa mada hujaeleweka vyema, Lakini huyu Musiba analipenda Taifa lake kwakweli.
Naona humu JF kazi kupinga mambo yahusuyo serikali tu bila kuangalia kesho yenu ipoje. WENZETU LIBYA WANALIA LEO SABABU ZA UJINGA HIZIHIZI. Tafadhali tuhamasishe amani kwa Taifa ili vizazi vijavyo vipate kuneemeka navyo. Lipeni kodi ipasavyo na daini risiti za EFD ndo mataifa, ili miundombinu iimarishwe,hospital ziendelee kuboreshwa kama wanavyofanya sasa na vingine vingi acheni siasa fanyeni kazi.
Aisee Didas badilisha ID ndugu maana kwa hilo jina,Yaani Didas wote niliokutana nao na kuwafahamu ni vilaza kuliko ukilaza wenyewe .Rekebisha kauli yako sio wote wana akili kma za hyo wapo pia wenye tabia nzuri kushinda hata kabila lako
Since when we Fyatu?comment yako inaendana na ID yako vile,Nyie ndo wachochezi mnaotafutwa mbakwe.Mnatufundisha madudu gani haya,inamaana kuna chadema mpya katika awamu hii?Acheni kuogopa kivuli chenu.Kumalo wee.Simjui Musiba na sijui taarifa zake anazitoa wapi.
Lakini ukifuatilia social media feeds za watu anaowatuhumu utaona kuna kaukweli katika vitu alivyosema Musiba.
Mimi binafsi ninaamini kuwa CHADEMA is a TERRORIST organization.
Ndo ishakula kwake tena,lazima afichwe lasivyo imbombo ngafu.Cyprian Majura Musiba ni dalali wa kisiasa.
Lakini si kwamba ametumwa bali ameghafirika tu kisiasa na amekurupuka kwenda kwenye kamera.
Nashauri apuuzwe tu.
Jamaa amewataja hadi kwa majina lazima atakuwa na ushahidi wa kutosha.
[emoji1] [emoji1] sana mkuuAnaonekana amefanya "homework" yake vizuri.
Kwa hiyo sio kweli kuwa Mange anaratibu machafuko (mapinduzi) hapa nchini?Since when we Fyatu?comment yako inaendana na ID yako vile,Nyie ndo wachochezi mnaotafutwa mbakwe.Mnatufundisha madudu gani haya,inamaana kuna chadema mpya katika awamu hii?Acheni kuogopa kivuli chenu.Kumalo wee.
Unapata wapi nguvu ya kuutangazia umma wa Watanzania kwamba hawa ndugu zetu ni hatari??? Mamlaka unayatoa wapi Musiba.....??? Maana ya mtu hatari katika usalama wa taifa ni wewe wa kutoa hiyo hukumu na maamuzi ya kuwaita wenzetu Hatari???
Naombeni msaada ni nani huyu?? Anapata wapi mamlaka na nani amemtuma????
Ameitisha press conference na kutaka vikosi vya usalama viwashughulikie bila huruma Mange Lissu,Mbowe,Maria Sarungi,Zitto na wengine WANNE kwa madai ya kuhatarisha usalama wa nchi na kutumiwa na CIA na FBI
Hana kazi anatafuta huruma ya Magu na Bashite