kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
Ni kichekesho ila ni uchonganishi mbaya sana baina ya Tanzania na USA,
Mamlaka husika hazipaswi kulikalia kimya,nitashangaa kama serikali italikalia kimya hilo swala,
Ametoa tuhuma nzito sana ambazo zilitakiwa kutolewa na watu wa usalama kama ingekuwa kweli lakini,
Mpaka dakika hii ilitakiwa awe ndani kwa kuropoka mambo mazito namna hiyo