Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

FBI na CIA wenyewe watamnyoosha kwa kuwasingizia Uongo kwani wasipomwadhibu ataendelea kutengeneza Majungu, fitna feki na ujinga ujinga mwingi anaofundishwa na Madalali wa siasa wa CCM.
Basis sawa....
 
Ni mutu ya system aliyejidai mwanahabarj. Anaonesha rangi zake halisi
 
Sielewi kwanini tumjibu
Hopefully this would be a last comment.
 
Musiba wewe ni kanjanja na hata hujitambui ina maana wewe uko well informed kuliko vyombo vyetu vya ulinzi na usalama,
 
Kila mkosoaji wa Chadema lazima muulizie wasifu wake..
mtaulizia wananchi wa nchi nzima sasa mkidhani wanatumiwa na CCM
USISAHAU NA WALE VIONGOZI WA KIROHO WANAO KEMEA UCHAFU UNAOFANYWA NA MCHAFU YULE WA CHATLE WANAHOJIWA URAIA WAO.
 
Ameitisha press conference na kutaka vikosi vya usalama viwashughulikie bila huruma Mange Lissu,Mbowe,Maria Sarungi,Zitto na wengine WANNE kwa madai ya kuhatarisha usalama wa nchi na kutumiwa na CIA na FBI
Hana kazi anatafuta huruma ya Magu na Bashite
Akibanwa na ubalozi wa Marekani atoe ushahidi ataweza. Kwasababu hapo ni kuichafua Marekani. Yeye kaongea akifikiria ni mambo madogo hajui kuwa yanaweza kuleta matatizo kwake na kwa nchi ikiwa. Marekani wakaingilia kati. Ila kichaa alietumia vyeti vya wizi inabidi apelekwe hosp
 
Huyu jamaa watu wanaodai haki anawaita watu hatari? watu wanao ikosoa serikali anawaita watu hatari? Hovyo kabisa. Yaani atutakiwi kuhoji uovu unafanywa na hii serikali? Kama Lisu ni mtu hatari, anataka kutuambia waliotaka kumuua ndio wazalendo?? Eti Mange anatumiwa na FBI hawakuliona hilo wakati anakampeni for CCM 2015?? Eti Zitto Kabwe, Mbowe, Heche?? Hii ndio agenda ya CCM kutaka kuuwa upinzani na kujifanya miungu watu, kana kwamba wao hawakosei.
 
Nimelazimika kuangalia hii video.

Kwanza nimecheka sana. Siwezi kumbishia Bwana Msiba maana anaweza kua na sababu zake hata kama ni za kipumbavu ila bado anaziamini kua ni sababu.

Nilichogundua elimu ndogo na uelewa mdogo bado ni changamoto katika jamii yetu, kama huyu alikua mtangazaji na mwandishi wa ha ari basi hii nchi ina matatizo makubwa.

Kwanza Musiba anaonekana hajui au hana ufaham kabisa tofauti kati ya FBI na CIA. Anaituhumu FBI lakini kimantini ni CIA kama kweli anachokisema kiko hivyo, FBI haifanyi kazi za ujasusi na haivuki mipaka ya Marekani, hawa ni polisi wa Marekani na sio taasisi ya kijajusi nje ya Marekani.

Pili, Musiba hata maneno ya kawaida tu yanamshida kuyasarufisha, Uasi yeye anasema ni Uhasi.

Little learning is very hazardous. Stupidity is still common among Tanzanias.
Naona umeshikwa pabaya
 
Huyu jamaa kweli lofa, watu wanaodai haki anawaita watu hatari? watu wanao ikosoa serikali anawaita watu hatari? Hovyo kabisa. Yaani atutakiwi kuhoji uovu unafanywa na hii serikali? Kama Lisu ni mtu hatari, anataka kutuambia waliotaka kumuua ndio wazalendo?? Eti Mange anatumiwa na FBI hawakuliona hilo wakati anakampeni for CCM 2015?? Eti Zitto Kabwe, Mbowe, Heche?? Hii ndio agenda ya CCM kutaka kuuwa upinzani na kujifanya miungu watu, kana kwamba wao hawakosei.
Mkuu chadema ni janga
 
Mtoa mada hujaeleweka vyema, Lakini huyu Musiba analipenda Taifa lake kwakweli.
Naona humu JF kazi kupinga mambo yahusuyo serikali tu bila kuangalia kesho yenu ipoje. WENZETU LIBYA WANALIA LEO SABABU ZA UJINGA HIZIHIZI. Tafadhali tuhamasishe amani kwa Taifa ili vizazi vijavyo vipate kuneemeka navyo. Lipeni kodi ipasavyo na daini risiti za EFD ndo mataifa, ili miundombinu iimarishwe,hospital ziendelee kuboreshwa kama wanavyofanya sasa na vingine vingi acheni siasa fanyeni kazi.
 
Hiz press za siku hiz ni kaz sana musiba nae analo la kuongea hakika huu ni musiba
 
Moja kati ya majitu majinga kabisa kuwahi kutokea katika nchi hii. The most stupid person ever happened in Tanganyika. Ukimsikiliza hyu kiccm utamwona kama anaongea kitu lakini huyu anachofanya ni kuvuruga mahusiano kati ya nchi yetu na nchi zilizotajwa.
 
Matendo yao yanaonyesha ni hatari kweli
[emoji116]
34b4550910d730f255c06ca3c01e4def.jpg
 
Back
Top Bottom