Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

Mkuu hapo #1 tangu lini FBI wakawa shirika la kijasusi? Hii inakupa quality ya uzi mzima kuwa bwana Musiba ni Jogoo toka mashambani kuwika mjini ni kwa nadra sana.
unajua maana FBI na kuna tofauti gani kati ya FBI na CIA
 
Kila mkosoaji wa Chadema lazima muulizie wasifu wake..
mtaulizia wananchi wa nchi nzima sasa mkidhani wanatumiwa na CCM
Siku nikiupata tu wasifu wako.wewe jinga jinga jinga lao.naacha kutumia jf.wewe una akili ndogo sana sana sana mkuu.ndogo kwa maana ya ndogo na ni adui mkubwa wa taifa hili.ulaaniwe wewe na wanaokutuma.shetani
 
Ameitisha press conference na kutaka vikosi vya usalama viwashughulikie bila huruma Mange Lissu,Mbowe,Maria Sarungi,Zitto na wengine WANNE kwa madai ya kuhatarisha usalama wa nchi na kutumiwa na CIA na FBI
Hana kazi anatafuta huruma ya Magu na Bashite
Atakuwa kasikia kuna nafasi za uteuzi ,so anajaribu bahatai yake.

Ile keai ya the hegue dhidi ya lissu ameshaifungua??

Hahahaaa...insanity
 
Ameitisha press conference na kutaka vikosi vya usalama viwashughulikie bila huruma Mange Lissu,Mbowe,Maria Sarungi,Zitto na wengine WANNE kwa madai ya kuhatarisha usalama wa nchi na kutumiwa na CIA na FBI
Hana kazi anatafuta huruma ya Magu na Bashite
FBI na CIA wenyewe watamnyoosha kwa kuwasingizia Uongo kwani wasipomwadhibu ataendelea kutengeneza Majungu, fitna feki na ujinga ujinga mwingi anaofundishwa na Madalali wa siasa wa CCM.
 
Na wauza madawa ya kulevya wa ufipa pia ni hatari sana
 
Naomba kujuzwa kama ana undugu na mwanachama mwenzetu humu, ndugu Deo Kisandu?

Hivi ni kwanini waandishi wa habari hamzithamini microphone zenu?
 
Angesema CIA tungemuelewa ila FBI mmmmh
 
Si watangaze kusitisha mahusiano na Marekani na Germany kuliko kulialia.
 
unajua maana FBI na kuna tofauti gani kati ya FBI na CIA
CIA ni Shirika la kijasusi la marekan, na mara nyingi linafanya shughuli zake nje ya mipaka ya marekani kwa masirahi ya marekeni, Kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni, na FBI ni shirika la upelelezi la marekani.
 
Mchumia tumbo huyo, cjui kwann mkulu hajampa ata udiwani wa kuteuliwa maana anatia aibu, njaa mbaya sana
 
Mmh jamaa anatoa wapi haya mamlaka? Vyombo vya usalama vimchunguze
 
Njaa inamsumbua sana, nilishamfuta kwenye memory yangu zamani baada ya kugundua hata uchambuzi wa soka wakati akiwa channel ten alifanya kwa upendeleo wa timu flani hafai kabisa kilichobaki kujipendekeza tu hata ukuta anaweza shikishwa!!
 
Back
Top Bottom