Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
mbona hajamtaja anko wetu msukuma na mwanae mpendwa DAB maana hao ni hatari kuliko alqaeda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona akina Musiba ni watu Smart sana,huyu katokea wapi.Mkuu hapo #1 tangu lini FBI wakawa shirika la kijasusi? Hii inakupa quality ya uzi mzima kuwa bwana Musiba ni Jogoo toka mashambani kuwika mjini ni kwa nadra sana.
Mtasumbuka sanaWANTED! Hasa hao walioko ughaibuni! Ndo wa kutaftia dawa!
Watanzania wa Leo siyo wa mwaka 47 Time Will tellWATU 10 AKIWEMO MANGE KIMAMBI WANAOTAJWA KUWA HATARI KWA USALAMA WA TAIFA
MTILAH BLOG / 42 minutes ago
MANGE KIMAMBI
Mkurugenzi wa Kampuni ya CZI, Cyprian Musiba leo Februari 25, 2018 amezungumza na waandishi wa habarina na kuwataja watu 10 hatari kwa usalama wa Taifa.
Musiba amesema serikali inatakiwa kuwa makini na watu wao kwani wanaweza kusababisha machafuko nchini .Musiba amewataja watu hao ni.
1.Mange Kimambi-Musiba amesema mange kimambi anatumiwa na FBI(Shirika la kijesusi la marekani)
2.Freeman Mbowe-Musiba amesema CHADEMA imepeleka vijan 500 ujerumani kwa ajiri ya kuratibu ajenda za kiarifu katika Taifa
3.Mari Sarungi-Musiba amesema maria sarungi kazi yake ni kuongea negative juu ya serikali
4.Zitto kabwe-Musiba amesema Zitto anahamasisha vyama vya siasa viungane viandamane tyarehe 26/04/2018 ili walete vurugu.
5.Lissu
6.John Heche
7.John Marwa (Alikuwa mlinzi wa Salum mwalim wakati wa kampeni Kinondoni)
8.Evarist Chahari-Mtanzania anaishiu Uingereza
9.Julius Mtatiro
10.Janja wind-Kikundi cha wafuasi wa CUF
https://play.google.com/store/apps/details?id=mtilah.blogspot.com
>>>BOFYA HAPA ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU
Cyprian Musiba ameiomba serikali na vyombo vya ulinzi kuwafuatilia watu hao
Zaidi msikilize kwenye video hii hapa chini
Visit website
Wewe ulitegemea mtu mwenye akili yake na elimu yake aje kuongea madudu hayaNimelazimika kuangalia hii video.
Kwanza nimecheka sana. Siwezi kumbishia Bwana Msiba maana anaweza kua na sababu zake hata kama ni za kipumbavu ila bado anaziamini kua ni sababu.
Nilichogundua elimu ndogo na uelewa mdogo bado ni changamoto katika jamii yetu, kama huyu alikua mtangazaji na mwandishi wa ha ari basi hii nchi ina matatizo makubwa.
Kwanza Musiba anaonekana hajui au hana ufaham kabisa tofauti kati ya FBI na CIA. Anaituhumu FBI lakini kimantini ni CIA kama kweli anachokisema kiko hivyo, FBI haifanyi kazi za ujasusi na haivuki mipaka ya Marekani, hawa ni polisi wa Marekani na sio taasisi ya kijajusi nje ya Marekani.
Pili, Musiba hata maneno ya kawaida tu yanamshida kuyasarufisha, Uasi yeye anasema ni Uhasi.
Little learning is very hazardous. Stupidity is still common among Tanzanias.
MUSIBA ANA KESI YA KUJIBU JUU YA TUHUMA HIZO DHIDI YA FBI.NADHANI AKILALA NDIO ATAONA UZITO WA UPUMBAVU ALIOUFANYA KWA KUTAFUTA CHEO.
Mtasumbuka sana
Europe North America sio wapumbavu kama viongozi wetu tambua hilo
Sanasana mnawapigia Promo
Ngoja Ubalozi wa Marekani umlime barua kesho athibitishe kauli zake ndipo mtajua hawa watu si wapumbavu
FBI sio kama TISS muache kufananisha na huu uchafu.
Hata jeahi la polisi wakati wa uchunguzi lazima likujue kwanza wewe ni nni, kuna ughusiano mkubwa kati ya wasifu wako na mienendo yako. Kwa Musiba i.eshafahamika ni wale wale wa Elimu za kuunga unga na kuficha maovu yao( vyeti feki). Na ni watu wa kujipendekeza. Ucgunguzi wetu kuhusu wasifu wake umetupa majibu kwa nini anawaza hivyo anavyofanya.Kila mkosoaji wa Chadema lazima muulizie wasifu wake..
mtaulizia wananchi wa nchi nzima sasa mkidhani wanatumiwa na CCM
Kumbuka wewe ni baba mtakatifuMtu hatari kuliko wote Tanzania anajulikana.... Ni mfalme herode
Unapata wapi nguvu ya kuutangazia umma wa Watanzania kwamba hawa ndugu zetu ni hatari??? Mamlaka unayatoa wapi Musiba.....??? Maana ya mtu hatari katika usalama wa taifa ni wewe wa kutoa hiyo hukumu na maamuzi ya kuwaita wenzetu Hatari???
Naombeni msaada ni nani huyu?? Anapata wapi mamlaka na nani amemtuma????