Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani unafurahia nchi kuendeshwa kwa misaada badala ya kusisitiza sisi wenyewe kuongeza uzalishaji?. Kwa akili hizi watanzania kujikomboa bado sana. Yaani unafurahia wanaume wenzako huko ulaya wafanye kazi halafu wawaletee hela mle.Halafu kesho na kesho kutwa mkiwa kwenye mgogoro hao watoa msaada wakiingilia mnasema WATUACHE NA MATATIZO YETU, MARA MATATIZO YA AFRIKA YATAMALIZWA NA WAAFRIKA, wajinga kweli haya malizeni matatizo Congo na Southern Sudan.Yeyote anayeombea nchi inyimwe misaada!
Ni kweli Naunga mkono kwa 100% kwani huyo fala Msiba anasaka Kiki na kumfurahisha Boss wao Maliyamungu idd Amin Bashite, lakini hajui kuwa amefanyia promotion kubwa tarehe 26-4-18 na sasa kazaa bifu toka FBI kwani endapo wataambiwa kuna fala kawasingizia Uongo Tanzania hawataacha kumshughurikia, anasaka cheo na sifa za kijinga ambavyo vitamgharimu.Mjinga Sana. Alichofanya amezidi kuipaisha tarehe 26/04/2018. Mange Kimambi is linked to CIA and FBI! That's GOOD NEWS! Change, Yes we Can. Mmeanza kuweweseka? This is for Real.
6.YEYOTE ALIYEZAA WATOTO AKAWATELEKEZA KAMA BABA YAKE DIAMOND PLATNUMZ [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hebu tutende haki tuwe na balancing story hata kwenye hili la Cyprian Musiba aliyetaja orodha ya watu kumi hatari kwa usalama wa Tanzania
Kwenye orodha yake kawataja kwa majina na karibia wote ni viongozi wa UPINZANI na wachache ni wanaharakati na watoa maoni huyu...
Naomba tulitendee haki jukwaa nasi tuwe na orodha yetu ila tusitaje majina kuepuka uzi kufutwa... Tutaje mtu mwenye viashiria vya hatari... Nitaanza wengine mtamalizia
1. Yeyote anayepuuza maoni ya wengine.. Kwa uchache wao ama wingi wao..
2. Yeyote asiyekubali tofauti za kimtazamo katika jamii moja...
3. Yeyote asiyezingatia utawala wa sheria
4. Yeyote asiyezingatia haki za binadamu....
5..... Ongezea
Yeyote anayetaka kuifanya nchi itegemee misaada wakati inavyanzo vya mapato kuliko huko anakoomba misaadaYeyote anayeombea nchi inyimwe misaada!
Musiba sio msemaji wa serikali. Yeye ametoa hisia zake. Kitendo hiki kinakubalika kabisa na hizo nchi ulizozitaja za Marekani, Ujerumani, na ulaya yote. Kinaitwa FREE SPEACH.Umesomea mambo haya au unajisemea tu kwa hisia kama huyo musiba? Narudia tena, raia hawezi kuitisha press akiituhumu nchi nyingine katika masuala makubwa kama hayo. Yeye hana jukumu hilo. Angepeleka ushahidi wake kwa mamlaka zinazohusika. Je Marekani na Ujerumani kama wakitaka ushahidi atakuwa nao? Ni mgogoro mkubwa huo ikiwa serikali haitamkamata kuonyesha kuwa alichokifanya ni against na national law na kwamba serikali haikubaliani na maoni hayo. Mamlaka ya kutangaza watu hatari kwa usalama wa nchi musiba ameyatoa wapi? Tusijitoe akili kwenye mambo ya msingi.
Itabidi uzipange mwenyewe maana zitafika 5000Hii inafaa kuwa namba 5
Yeyote anayeamini yuko sahihi kuliko Watanzania wote ama walio wengi.Hebu tutende haki tuwe na balancing story hata kwenye hili la Cyprian Musiba aliyetaja orodha ya watu kumi hatari kwa usalama wa Tanzania
Kwenye orodha yake kawataja kwa majina na karibia wote ni viongozi wa UPINZANI na wachache ni wanaharakati na watoa maoni huyu...
Naomba tulitendee haki jukwaa nasi tuwe na orodha yetu ila tusitaje majina kuepuka uzi kufutwa... Tutaje mtu mwenye viashiria vya hatari... Nitaanza wengine mtamalizia
1. Yeyote anayepuuza maoni ya wengine.. Kwa uchache wao ama wingi wao..
2. Yeyote asiyekubali tofauti za kimtazamo katika jamii moja...
3. Yeyote asiyezingatia utawala wa sheria
4. Yeyote asiyezingatia haki za binadamu....
5..... Ongezea
Pogba, Bashite na MwiguluHebu tutende haki tuwe na balancing story hata kwenye hili la Cyprian Musiba aliyetaja orodha ya watu kumi hatari kwa usalama wa Tanzania
Kwenye orodha yake kawataja kwa majina na karibia wote ni viongozi wa UPINZANI na wachache ni wanaharakati na watoa maoni huyu...
Naomba tulitendee haki jukwaa nasi tuwe na orodha yetu ila tusitaje majina kuepuka uzi kufutwa... Tutaje mtu mwenye viashiria vya hatari... Nitaanza wengine mtamalizia
1. Yeyote anayepuuza maoni ya wengine.. Kwa uchache wao ama wingi wao..
2. Yeyote asiyekubali tofauti za kimtazamo katika jamii moja...
3. Yeyote asiyezingatia utawala wa sheria
4. Yeyote asiyezingatia haki za binadamu....
5..... Ongezea
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]6.YEYOTE ALIYEZAA WATOTO AKAWATELEKEZA KAMA BABA YAKE DIAMOND PLATNUMZ [emoji12] [emoji12] [emoji12]
DuuuPogba, Bashite na Mwigulu
Ni kweli mkuu,awamu hii inataka kuua kabisa vipawa vya watu katika kufikiri.Kusifia na kupongeza ndio kimekua kigezo cha uteuzi. Awamu hii imetusaidia kujua waandishi habari na wanasiasa wenye misimamoSiyo Wote Mkuu..Tungepata Waandishi Kama 10 Mfano wa Pascal Mayalla ,Chaz Hillary.. nk Watanzania Walio wengi wange-Elimika sana..Hili Musiba hata huko kwenye Habari halikufanikiwa sababu ya upeo mdogo..Siasa ndiyo atapotea kabisa..
Meaning what?is your brain wa
washed already...??
Mlilia sana hapa jukwaani nchi ipokatiwa mgao wa wamarekani leo mnajitoa ufahamu kua nchi haihitaji msaada!Anayesaidiwa daima ni mtu asiyejiweza ama mwenye dharura kubwa ya majanga ya asili na yanayotokana na matendo ya binadamu.... Je hili likishawahi kutokea na mtu akafanya hivyo? Ama ni misaada gani hiyo kama nchi hauko kwenye dharura?
Yeyote anaetakiwa kuwariji watu wakati wa dhiki, lakini akawapelekea maneno yenye uchungu na masimangoYeyote anae pokea rambi rambi halafu kwenda kufanyia mambo tofauti na kusudi la rambi rambi