Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

mtu anawataja FBI kama anataja bamia..
 

Mshana please huyu jamaa ni ""dead brain but living body"" hata horizon yake ni 0*....
 
Kwa Clip hii nina imani kabisa sio ya kupuuziaa. Maana nimeanza kuona kuna watu wanaweka uchungu na hasira mioyoni mwa watu ili maandamano ya fanyike.
 
Yeyote anayeombea nchi inyimwe misaada!
Hii mada wewe huwezi kuchangia .yani unaombea nchi yetu ipewe misaada badala ya kuombea tuweze kujitegemea?.
Okey... yeyote anayedhani ili tuwe na maendleo lazima wote tufikir kama yeye tu hata kama fikra zake ni zenye frastrations. Ni adui mkubwa kwa taifa.
Go mange go .naunga mkono maandamano ya mange kimambi. Wanaomuita kahaba.wao ndio.malahaba wakuu.tena wanaoana waume kwa waume kama.alivyofanya.shaka.kwa.kuolewa na.salumu mpelembo huko tanga
 
Kwani huyu Kaka anataka nini... Ukuu wa Wilaya..!?

Apewe tu basi jamani..
 
nimeangalia youtube nimecheka sana,na waandishi wa habari muwe na akiri mnaitwa na kila mtu mnakwenda tu.shame on you.
Pascal Mayalla alishasema uandishi wa bahasha ndio unao haribu fani. Anachokifanya Musiba ni kutumia hizo fedha anazopewa kufanya hayo na kuziweka kwenye bahasha kuwagawia watakao kuja.
Na hivi sasa kuna mabloger kibao kama Le mutuz basi wao ni kurusha tuu kile wakipokeacho. Ila ilibidi polisi kama wangekuwa hawafanyi kazi kisiasa wamhoji awaeleze hawa wanaohatarisha usalama wa taifa wanahatarisha namna gani ili hatua zichukuliwe
 
Mkuu acha ujinga hakuna anayependa hicho ila bado hatujafikia huko

Misaada INA umuhimu sana kwa afrika kwa kuwa bado hatujajiweza
 

Yeyote asiyejali amani ya NCHI. kwa Hela za Wafadhili. Anayehubiri DEMOKRASIA WAKATI HANA SIFA HIZO. by the way we mpiga Majungu uliyetuma. Wakenya wanaenda kuchukua OSKAR huko HOLLYWOOD. We endelea siasa za fujo. Badala kulima nyanya.
 
Mbona mnakuwa na uzi mwingi sana akiongea mtu. MANGE KILA SIKU YUPO KUTAJA WATU. MBOWE NA LISSU KILA DAY PRESS CONFERENCE KUTAJA MAMBO. MBONA KIMYA. PUMBAVU. NDO MNAITA DEMOKRASIA. UHURU WA MTU. UNAPOFANYA MAUJINGA. JUA NA WENZAKO WAPO. SO SHUT UP. MANGE ANATUMWA NA NANI. SO ANZA UKO AU JUST SHUT THE https://jamii.app/JFUserGuide UP.
 
Ana uhuru pia wa kutoa maoni ila sina uhakika kama kuhukumu kunaruhusiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…