Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

FBI, CIA ndo wale wale.

Watz bwana. Kuibiwa na kuhujumiwa hamtaki. Kupewa Habari kuwa kuna watu wanapanga au wanawaibia au wanawahujumu pia hampendi. Loh,
Anaweza kuthibitisha?
 
Oook! Ninku nukuu" Lisemwalo lipo kama halipo basi laja" kwa maneno yako unakubali kuwa serikali hii ni ya kidikiteta maana na hili nalo limesemwa sana.
 
Nafikiri watu wasihangaike sana na huyo Musiba wa familia na mwenyewe.

Watazame malengo ya chapisho yanaasharia nini.

Ukitazama, watu aliowaweka ni wale ambao wamekuwa mstari wa mbele kutumia nafasi zao za siasa, kijamii kuwapa platform watanzania kuongea kwa uhuru.

Nyuma ya bandiko ni mbinu iliyojificha kutaka kujua zaidi kwa kuwataja.

Vile vile kuna viashiria vya technolojia inavyotoa mwanya kwa watu mbalimbali kutoa na kufikisha habari..
 
Musiba ni yule jamaa aliyetangazaga kuwa atampeleka lissu uholanzi kumshataki na akitoa siku mbili afu hadi Leo kimyaa na Jana kaja na mada jingine
 
Huyo kimambi kuna haja ya kunfungulia kesi ya Uhaini ikaendelea in her absence na akala kifungo ; ili akitua tu akutane na mzigo wake. ukimsubiri.
 
Musiba anatafuta nafasi wenzake waliokosa wanaonyimwa nafasi ndo kama huyu bwana Bashe hapo chini, mi namuona yupo kwa maono yake kuna kitu anatafuta na si kingine ni pilublicity ni kama hamorapa kwanye siasa

 
Kwakweli nimejisikia aibu sana kwa hilo hasa km hizi video zitarushwa mpk huko USA, watatuona we Tanzanians hatuko serious watatudharau !kuituhumu FBI inataka kuingilia Usalama wa nchi fulani ni sawa na kusema Polisi ya Tanzania wanaingilia usalama let say wa kenya ? Kwa kweli ametuaibisha kushindwa kujua Shirika la ujasusi la USA ni CIA ameondoa uzito kabisa wa taarifa yake hata km ilikuwa na Mantiki!nafikiri hata hao American hawatajisumbua ku respond kwa hii allegations maana amechemka haswa, mimi sishabikii siasa lkn kwa hili nimesikitishwa sana sipati picha Trump atakavyoendelea kutudharau Africans.
Napendekeza kabla mtu hajafanya Press conference yenye Mlengo wa kimataifa kuwepo na mamlaka itakayo pitia taarifa zake kabla.
 
Nasubiri kauli ya Dk. Abas juu ya hili gazeti kabla sijatoa maoni yangu.

Vv
 
Musiba ni mgonjwa mmoja wa akili aliyetoroka Mirembe. Ni mtu hatari ambaye anastahili kuwa chini ya uangalizi maalum. Popote alipo anatakiwa adhibitiwe kabla hajadhuru watu.
 
Hilo ni taaahiraaaa namba moja hapa nchiinii
 
Musiba musiba!! Kilaza fulani hivi!! huwezi kumuimpress dictator labda ukubali kutoa mdondo kama bashite!! Unasikia chikaka!! haya nenda ikulu vua suruali pinda kwa mbele; ,mbele ya dictator aku--
 
habari yenyewe kaindika kwa gazeti lake ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…