Tairi bovu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2017
- 3,063
- 2,985
kAMA MNAVYOULIZA URAIYA WA.WAKOSOAJI WA.MZEE.WA.FRASTRATIONS. YULE MUOKOTA VICHWA.VYA TRAIN, MUUZAJI WA.NYUMBA.ZA.UMMA.NA.MNUNUZI WA.VIVUKO NA KUVILELEKA JWTZ?Kila mkosoaji wa Chadema lazima muulizie wasifu wake..
mtaulizia wananchi wa nchi nzima sasa mkidhani wanatumiwa na CCM
Musiba anamjua kiongozi wake, kwa hiyo anajua hayo maneno kiongozi wake anayapenda kwa hiyo anatafuta u DCHuyu Cyprian musiba simuelewi. Them yake ninini mfano anaongelea mambo ya Tz kujadiliwa umoja wa ulaya kuhusu ubinywaji wa haki za binadamu anasema eti sio kweli upo kwani vyama pinzani havina nafasi ya kufanya vikao vyao halali wala mikutano yao halali wala kuchangia shughuli yoyote ya maendeleo, hii pia ubinywaji wa democrasia vyama pinzani haitakiwi viwe maadui kwa serikali.
jingalao ujinga anaofanya musiba lzm una baraka za juu kama dudubaya alitaja list fulani tu akaitwa polisi huyu anaye taja watu hatari kwa taifa mbona hachukuliwi hatua yyte?anyway hata ww ni mtumwa wa B7 za lumumba hapa uko kazini siyo?Kila mkosoaji wa Chadema lazima muulizie wasifu wake..
mtaulizia wananchi wa nchi nzima sasa mkidhani wanatumiwa na CCM
Wew ni mvivu wa kufuatilia habari hata hiyo ya juu huioni?? Hilo gazeti hujaliona?? In a nutshell musiba anatumwa na ccm mpya.kuanzia ngazi za juu mpaka chini.Umeleta habari kana kwamba kila mtu anajua kinachoendelea eeh huyo musiba kafanyaje
u dc na wehu wote huo hiyo wilaya itakuwa kituko.Musiba anamjua kiongozi wake, kwa hiyo anajua hayo maneno kiongozi wake anayapenda kwa hiyo anatafuta u DC
Vipi mkuu ushahidi wenu ulifanyiwa kazi?BAHATI MBAYA USHAHIDI UMESHAFIKA MAREKANI NADHANI UNASUBIRIWA MUDA TU.KIHERHERE KIBAYA SANA.
Aliitwa?NADHANI ATAITWA ATHIBITISHE TUHUMA HIZO DHIDI YA MAREKANI NA UJERUMANI.
Thibitisha kwamba huyo ni mgonjwa.HUYU NI MGONJWA TANGU YUPO FORM II. UGONJWA UMEMRUDIA TENA kwa kasi mpya yo yo yoo...!!! ni Kama nabii Tito tu.
PovuSiku nikiupata tu wasifu wako.wewe jinga jinga jinga lao.naacha kutumia jf.wewe una akili ndogo sana sana sana mkuu.ndogo kwa maana ya ndogo na ni adui mkubwa wa taifa hili.ulaaniwe wewe na wanaokutuma.shetani
Vipi walimnyoosha?FBI na CIA wenyewe watamnyoosha kwa kuwasingizia Uongo kwani wasipomwadhibu ataendelea kutengeneza Majungu, fitna feki na ujinga ujinga mwingi anaofundishwa na Madalali wa siasa wa CCM.
Ni speaker kuu ya chama cha makinikia, ukitaka kujua mmiliki wa speaker fatilia waya.Kuna jama alichora sipika na waya kitu chakushangaza jamaa walipofuwatilia ule waya akakuta una waya less kufuwatilia mawimbi wakakuta jamaa yupo kwenye network ambayo siorahisi kujuwa chanzo cha mtoa tarifa darkweb
Musiba anamjua kiongozi wake, kwa hiyo anajua hayo maneno kiongozi wake anayapenda kwa hiyo anatafuta u DC
Acha ushamba wako wananchi Nchi nzima hawapo mitandaoni pia kumbuka watanzania wengi hawaipendi CCM hawana Akili ndogo kama zenu na boss wako MusibaKila mkosoaji wa Chadema lazima muulizie wasifu wake..
mtaulizia wananchi wa nchi nzima sasa mkidhani wanatumiwa na CCM
Musiba ni mbumbumbu kilaza na limbukeni Fulani anatumwa na Naibu Rais ndugu Daud Arbaty Bashite pia akina polepole na Boss wa CCM wapo nyuma yake kwa kweli Musiba ni aina ya shetani mpya huko CCMAmeitisha press conference na kutaka vikosi vya usalama viwashughulikie bila huruma Mange Lissu,Mbowe,Maria Sarungi,Zitto na wengine WANNE kwa madai ya kuhatarisha usalama wa nchi na kutumiwa na CIA na FBI
Hana kazi anatafuta huruma ya Magu na Bashite
Nchi hii sasa inaendeshwa kizushi mbinu za Bashite kuwachanganya watu ili wasahau zile trilion 1.5 walizofuja na mtukufuMusiba anatumika haswa. Angekua hatumiki sheria ingechukua mkondo wake. Taifa jinsi linavyokwenda inahuzunisha sana.
Huyu nu muhuni mmoja tu anatumwa na ikuluMusiba ni mbumbumbu kilaza na limbukeni Fulani anatumwa na Naibu Rais ndugu Daud Arbaty Bashite pia akina polepole na Boss wa CCM wapo nyuma yake kwa kweli Musiba ni aina ya shetani mpya huko CCM