Wewe ni mmoja wa wajinga wasio na mfano.Musiba ni sampuli ya vijana wa ccm wala hauhitaji kuwapima kujua uwezo wao wa kufikiri
Unatufananisha na hicho kisonono kisicho na dawa. Umetuvunjia heshima sana. Uliona musiba akiwa na jina zaidi ya hii miaka miwili iliyopita.
Huyu hajamikera kama alivyotukera sisi, na tunamchukia kushinda nyie.
Na huyu aliyeleta huu uzi ni mpiga rangi qa viatu vyake, acheni kumpa jina , wala msimjibu