Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

Musiba amekuwa akiitetea Serikali pasipo woga, ameikosoa pasipo woga pale ilipoonekana kutochukua hata shida ya woote wenye nia mbaya na Serikali.

Mwandishi huyu na mmiliki Wa vyombo vya habari ni mfano Wa kuigwa
Iga na chagua mrengo tofauti uone kama hayajakupata ya tundu letu ,abby nunda na ali force ma fikra (R.I.P)
 
Duniani binadamu tuko wa aina mbalimbali:

Waovu wakitetewa na waovu wenzao;

Waovu wakitetea maovu yao;

Wema wakitetewa kwa wema wao;

Wema wakitukanwa na waovu;

Na watu kama Musiba ambao kamwe hawaogopi kusema yaliyo moyoni mwao.
Hapo mwisho ina hakika Musiba anakijua anachokisema? Hv hujagundua anavyo hangaika kuripotibzile kariri? Na anapopotea akijaribu ku elaborate zile insha zake
 
Musiba amekuwa akiitetea Serikali pasipo woga, ameikosoa pasipo woga pale ilipoonekana kutochukua hata shida ya woote wenye nia mbaya na Serikali.

Mwandishi huyu na mmiliki Wa vyombo vya habari ni mfano Wa kuigwa
Afadhali niige uzalendo wa shetani kuliko wa musiba!
 
Musiba amekuwa akiitetea Serikali pasipo woga, ameikosoa pasipo woga pale ilipoonekana kutochukua hata shida ya woote wenye nia mbaya na Serikali.

Mwandishi huyu na mmiliki Wa vyombo vya habari ni mfano Wa kuigwa
Mkereketwa njaa
 
ama kweli, ukiyashangaa ya supuika yatakukuta haya ya kumswafi musiba!
Ni kweli ajira zimekuwa ngumu sana lakini hii ya kuajiriwa kumsifu musiba ni ngumu mno kuikubali.
Nina mashaka na mleta uzi kuwa huenda ni misiba mwenyewe kaja kupima kama bado anaweza rudia kuwatukana watu na au umeajiriwa kumpiga deki!
Jitahidi basi kumsihi Membe wamalizane kwa diipipii kama ana mabaki!
Ameandika mwenyewe msiba
 
Musiba amekuwa akiitetea Serikali pasipo woga, ameikosoa pasipo woga pale ilipoonekana kutochukua hata shida ya woote wenye nia mbaya na Serikali.

Mwandishi huyu na mmiliki Wa vyombo vya habari ni mfano Wa kuigwa
Vipi aigwe kuchafua watu?
 
Musiba amekuwa akiitetea Serikali pasipo woga, ameikosoa pasipo woga pale ilipoonekana kutochukua hata shida ya woote wenye nia mbaya na Serikali.

Mwandishi huyu na mmiliki Wa vyombo vya habari ni mfano Wa kuigwa

Kweli kabisa mkuu hujakosea ni mfano wa kuigwa na watu mazuzu. Kwa vile watu wanohitaji kuandika upuuzi wapo basi wafuate nyayo za huyu jamaa. Wanaweza vile vile kufaidika vijisenti kutoka kwa baadhi ya watawala wetu, wenye akili za ki kolomije.
 
Atakuwa zombi fulani hivi, ila nitasikitika zaidi kama atakuwa ni muajiliwa wa kule karibu na baraza na mitihani.
 
Habari wakuu

Nimefatilia habari mbalimbali zinazochapishwa kwenye gazeti la tanzanite,nadiriki kusema Mmiliki wa chombo hiki cha habari anauchungu na raslimali za taifa letu kuliwa na watu wachache wenyekujivika ngozi ya kondoo machoni pa watu.

Sote tunajua hakuna jambo gumu kama kutoa taarifa nyeti kwa umma kama hizi hata sisi hapa ndani tunatumia utambulisho fake ila niwaoga kuzungumza ukweli wa mambo.

N:B hizi habari za kuteteana kwamba ameanza kwetu anakuja kwenu kama wanavyodai wapinzani bila kuchukulia uzito wa suala lenyewe upuuzwe nao wapuuzwe wamekosa dira badala ya kusimama kama taifa kukemea fedha za wastaafu wanalia kila siku mitaani wanashabikia vitu vya ajabu.
 
Back
Top Bottom