social_science
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,106
- 1,260
Mbona yupo vizuri mkuu zaidi ya hao wasomi,katibu mkuu w/mambo ya ndani kaulizwa suala la sare hewa kakosa cha kujibu na huenda ni msomi mzuri kuliko comrade musiba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakua vema zaidi endapo akateuliwa itasaidia kudeal na viongozi wala rushwa,wastafu wanalia kila siku mafao yao kumbe kuna mtu kachota kajikausha.
Duuh musiba kapata umaarufu kirahisi sanahatari kubwa !
CCM njooni huku mumtetee musiba kabla watu hawajamgalagazaHalafu ule mwandiko wa Ile press release Ni wa January kabisa😁😁
Musiba aliposema kuwa Tundu Lissu na Freeman Mbowe wanastahili kuuawa, siku chache baadae Tundu Lissu akashambuliwa kwa risasi. Hakuna mamlaka yoyote iliyomhoji. Sio polisi, sio DCI. Hata Waziri wa usalama wa ndani alikaa kimya. Rais naye akakaa kimya.
Juzi gazeti la Tanzanite na Fahari yetu yanayomilikiwa na Musiba na ambayo kimsingi yanalindwa na mamlaka kwa ajili ya kuchafua watu yameripoti kuwa kuna njama zimepangwa za kumuua Musiba. Magazeti hayo ya Musiba yamewataja Wanaharakati, wanasiasa, polisi, wanadiplomasia na watu mashuhuri katika mpango huo wa mauaji. Haraka sana mamlaka zile zile zilizofumbia macho na masikio taarifa za kuuawa Tundu Lissu na Freeman Mbowe zimeanza kuwahoji watuhumiwa katika sakata hilo ambapo tayari Mkurugenzi wa Jamii Forum Bwana Mello ameshahojiwa.
Ndiposa Abdulrahaman Kinana na Yusuf Makamba ambao nao hawajasazwa katika ubatizo wa moto unaotokana na Joka walilolifuga na kulilisha wao wenyewe leo wanahoji tena ni nani aliyeko nyuma ya Musiba?
Nani namuuliza Makamba hivi uliposema Kikwete alibatiza watu kwa maji lakini Magufuli atawabatiza kwa MOTO ulidhani wewe na familia yako mpo salama sana kiasi kwamba ubatizo huu moto usibgewahusu?
Hakuna aliyeko salama na yeyote anayedhani yuko salama huyo ndiye hana usalama hata kidogo. Hili Joka la mdimu likimaliza au kukinahi kula watoto wa majirani huwa lina tabia ya kurudi ndani na kula watoto nyumbani.
Siungi mkono vitendo viovu vya Musiba vya kuchafua mtu yeyote. Lakini pia na ninyi jifunzeni kulaani watu wengine wanapochafuliwa. Mlikaa kimya wengine walipochafuliwa na pengine nanyi mlikuwa sehemu ya kuchafua wengine ndio maana sasa watu wapo kimya ninyi mnapochafuliwa.
The law of Karma is REAL! What goes around comes around.
Acheni kuzunguka mbuyu, Musiba ni Spika tu, yeye ni kipaza sauti. Na anayezungumza kupitia kipaza sauti hicho (Spika) mnamfahamu na mnamjua vema. Onesheni uanaume mumkabili hadharani na kiume. Tusi likitolewa kupitia Spika huwa hatupambani na Spika bali tunapambana na mzungumzaji. Ukiivunja Spika na kumuacha mzungumzaji halisi atatafuta spika/kipaza sauti/forum nyingine na ataendelea kukutukana.
#MwagaPombe2020
Remmy Cameroon
Sauti ya wasio na sauti
Nashangaa kosa alilofanya badala ya kuhojiwa na polisi, eti kapelekwa kwenye balaza la wazee waliopendekeza jina la JPM kuwa mgombea wa CCM, aisee makamba na kinana nimewashangaa sana
Mkuu halafu CCM wote hatuwaoni humu JFKweli hata mimi
Umaarufu wa kifala unalala kilasiku unaota umewekwa kwenye 18 unaliwa kiboga na vidume ulivovitukana.Duuh musiba kapata umaarufu kirahisi sana
Exactly ,kabisa ni yeye ,itapendeza akikaa bench,ili aandike vizuriHalafu ule mwandiko wa Ile press release Ni wa January kabisa[emoji16][emoji16]
vijana wa Lucifer hamna soni.....kwa hyo utapewa number wew livuvuzera poyoyo?Exactly ,kabisa ni yeye ,itapendeza akikaa bench,ili aandike vizuri