Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

nimeipenda hii hashtag #MwagaPombe2020
 
Yanayoendelea CCM,ni kazi ya Mungu ila kwa akili za kibinadamu si rahisi kuona wala kuelewa.

CCM hii haina tena baraka za mwenyezi Mungu.

Mungu karuhusu Shetani na aunge mkono juhudi!
 
HUYO NDO ACHUMAN NGABANGA!
NA HII NI TAFAKURI BAADA YA HABARI:

Sijui ni utani au vipi, lakini kuna visa vingi vya kuchekesha vinavyowahusu watani zangu wamakonde, na kifuatacho ni kimoja kilichotaka kuhatarisha mbavu zangu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ !

Jamaa mmoja alipotea porini na baada ya kutangatanga sana humo porini, jioni, akafika kwenye mji wa wamakonde katikati ya pori na baba mwenye nyumba akamkirimu mgeni wake ipasavyo.

Ulipofika muda wa kulala mwenyeji akamuonesha mgeni chumba cha kulala huku akimtandikia huyo mgeni chini lakini mgeni alipolalamika kwanini anatandikiwa chini mwenyeji wake akamwambia "humu kuna vitanda viwili tu, kimoja nalalia mimi na chemeeji yako na hicho kingine analala mwenyewe Achuman Ngabanga."

Mgeni bado hakuridhika:"Sasa mbona kitanda cha Achuman Ngabanga kikubwa tu na kinatosha kulala watu wawili? naomba tuchangie kitanda na Achumani."

Mwishowe mwenye mji akamruhusu mgeni achangie kitanda na Achuman Ngabanga ambaye mpaka hapo alikuwa hajarudi nyumbani.
Usiku wa manane mgeni akahisi kuna kitu kama mnyama kinambugudhi kitandani na alipoamka akajikuta ana kwa ana na mbwa mkubwa ambaye naye anataka kulala hapo kitandani, na hapo sasa ikawa tena apiga yowe kumuamsha mwenyeji wake na kulalama "huyu mbwa vipi hamjampa mafunzo, mbona anataka kulala na binadamu kitandani?"

Jibu la mwenyeji lilimuacha hoi mgeni:
"HUYO NDO ACHUMAN NGABANGA MWENYEWE AMERUDI, UNAMPUKUCHIA NINI? ....ACHA KUMPUKUCHAPUKUCHA ACHUMAN NGABANGA NAYE ALALE" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


SASA WAZEE WETU KULIALIA KOTE KWANINI TENA? HUYO NDIE GAMBA WA MAGAMBA MWENYE GAMBA LAKE IN ACTION!

NDUKI πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!



SIGNATURE
 
Ibara ya 18 ndiyo ilikuwa nyuma ya Lissu akapigwa risasi nusu kufa. acheni unafiki. kuna kitu kingine tofauti kipo nyuma ya huyu boya siyo Ibara ya 18.
 
JE, KINACHOMLINDA MUSIBA CHAJULIKANA?



JADILI!
Wewe mkonongo! jibu swali hili mbona ni Musiba peke yake! anaruhusiwa kufuata ibara ya 18? Huoni Ben saanane alivyopotea kwa sababu tu ya kuhoji PHD ya JPM? Huoni ubaya wa msiba anavyosema watakaomsema JPM watafanywa viwete? Seriously unamtetea Musiba? Rubbish thinker hata huko wewe ni mzibua vyoo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…