Cyprian Musiba atakiwa kumlipa Membe Tsh. Bilioni 9 ndani ya siku 14

Punguza maneno mengi, kamsaidie Musiba kulipia fidia.
Kwanza kabisa tuheshimiane, kama una ugomvi na mimi sema kabisa nijue zaidi ya hapo ukome kabisa kuanza kunihusisha na watu hunijui sikujui Tafadhali ndugu usiombe kuchokonoa himaya zangu....Ati nikamsaidie Musiba kwa misingi ipi wewe,??? Utaumia ndugu, Koma kabisa.
Tofautisha maoni ya mtandao na kumchafua mtu hadharani kwenye tv.
Kawadanganye wengine huko. Huo ndio upuuzi, Unawezaje kutofautisha maoni ya mtandao na yale ya TV, we jidannganye tu.
 
Haya tu ndiyo yanayowezwa na mahakama zetu. Kuwashughulikia mafisadi na wapigaji ni impossible kwao. Shame!
 
Wacha vitisho utamuumiza nani wewe?
 
Huyu mwaka huu kama hawajampakata wahuni sijui!!!

Yule mtetezi wa lgbtq wa kizanzibaa mtoto wa mstaafu alishampa chake?maana nakumbuka kusoma humu nae alitakiwa kulipwa
Yule case yake iko kwenye mahakama zabZanzibari kwaiyo hadi siku jamaa aji changanye aende zenji
 
Tuliza Makalio mwenyewe. Usinizoee.
Utatulia tu kuja kuparamia wanaume hapa. Tulia, nani aliyekuja kumzoea mwenzake hapa.??
Ukome na ulegee popote ulipo, unaenda kuumia. We chezea hizi himaya.
 
Mh.Membe usitake zote hizo huyo hana,waambie wewe una taka B tatu tu,kwa umri uliokuwa nao utakula bata mpk unaondoka hazijaisha,ila usisahau kuandika jina la mama...
 
Ha Ha Ha Mama Anaweza Akawapa Juice Wakanywa Pamoja Wakatoka Meno 30 Nje.

Vuguvgu Lote Hili La Ngosha V/s Msoga Wenda Tunaibiwa Muda.

Wacha Tuone Analipwaje Hyo 9.B
Nikipindi cha sukuma gang waliofanya uharifu kuwajibishwa
 
Hana ujanja tena sponsa wake kafa,
huyu ni wa kutia viboko vya makalio hadi awe anakaa kwenye kiti kwa tumbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…