Cyprian Musiba atakiwa kumlipa Membe Tsh. Bilioni 9 ndani ya siku 14

Haaaa na hcho kitangazo cha changia musiba mpelekeen na marehemu pengine ajui anaweza toa chochote kitu hapo kuokoa jahazi nb musiba tunaomba pesa zetu akuna musamaha hapa
 
Tulimkanya sana aache kutumia media zake kuwachafua viongozi hakusikia. Aliona mwamba ataishi milele. Alitutukana sana na kutishia tutajikuta tuna makalio makubwa. Kiko wapi sasa?
 
Tuondoe siasa, hivi kweli aliyosema Musiba kuhusu Membe hakuna hata chembe ya ukweli?
 
Sawa ni Jambo jema SANA.
Pole kwako maana inakuuma SANA
 
Haya ni madhara ya kumtegemea mwanadamu.
Hii habari ni ya uongo hakuna group inayoitwa sukuma gang. Hii ni nadhalia ambayo tulishaonya sana neno hili lipigwe marufuku otherwise watu watakuja wauane kwa ajili ya haya mambo. Na kama mnadhani ni utani endeleeni. Maana mwenye kuunga mkono uzalendo wa Dkt Magufuli wapo mpaka TISS na kila sehemu nyeti ina maana hilo kundi linaweza ua hata kiongozi mwenyekiti kisa tu linaona falsafa ya Dkt Magufuli inadhihakiwa. Kikubwa mambo ya Rwanda na Burudi Tanzania yanaweza tokea kabisa. Haya majina ya mara msoga gang, mara sijui nini ni mabaya na tulisha tahadharisha Maxence Melo ayapige marufuku ila sijui kwa nini mnaachia vitu ka hivi viendlee ku trend. Fikiria tu waliokuwa walinzi wa rais Dkt Magufuli unadhani watafurahi Dkt Magufuli kudhihakiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…