Cyprian Musiba atakiwa kumlipa Membe Tsh. Bilioni 9 ndani ya siku 14

Cyprian Musiba atakiwa kumlipa Membe Tsh. Bilioni 9 ndani ya siku 14

1681647657751.png
 
Membe kaenda kukazia hukumu bado shangazi..

Je wale jamaa wa changia Musiba waliishia wapi?

Walipata bei gani? Zilienda wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kilakitu ni fulsa bro
 
Case ya madai hiyo
Basi mahakama inapasa pia kuangalia namna bora ya mdai na wadaiwa kulipana, na wala siyo kwa malipo yakamilike ndani ya siku 14 kama vile ambavyo oda ilivyotolewa.
 
Defamation haina uwakilishi Kwa mjibu wa Sheria zetu, Yule aliyetukanwa ndiye anatakiwa kulalamika tu na sio vinginevyo.
Acheni kukurupuka kupost vitu msivyovifahamu
Ndio maana hata kwenye kesi ya Lissu kumuita Magufuli ni dikteta ilishindwa mahakamani
 
Musiba asipotuaga kwa pressure ataishia kuwa chizi, siku hizi nikiitazama ile sura yake namuona hayuko na amani, moyo wake mzito.

Angefanya atleast public apology angeweza kusamehewa na wale aliowakosea, ili apate amani, kwani nao ni binadamu pia, kuliko kukaa kwake kimya huku akiteketea ndani kwa ndani.
 
Back
Top Bottom